BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili ili aongeze nguvu kwenye kikosi chao.Kabwili kwa sasa mkataba wake na Yanga...
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa kocha wa Azam FC Hans Pluijm ambaye alitimuliwa ndani ya Azam FC.Hii ni kutokana na kile kilichoelezwa kwamba anatafutiwa...
Kipindi cha Spoti House kimeendelea tena, pata nafasi ya kuwasikiliza wachambuzi mbalimbali wa mabo ya soka kuhusiana na mpira wa miguu.
IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na Lipuli FC.Salamba amekuwa akitajwa kuwa ni mchezaji wa simba ambaye Kocha Patrick Aussems hana mpango...
KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa zamani wa Simba na sasa Lipuli, Seleman Matola.Dili hilo limeanza baada ya KMC kushtukia kwamba Kocha wao wa sasa Etiene...
MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, GadielMichael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.Dau alilowekewa mezani beki huyo lilikuwa ni Shilingi Milioni 40 na mshahara wa Milioni tatu. Habari za uhakika zinasema kuwa...
MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi.Awali Chirwa ambaye ni Mzambia ligoma kusaini mkataba mpya na klabu hiyo na inatajwa kuwa malengo...
BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji alitaka Mil 20 kwa mwezi.Mmoja wa makomandoo maarufu wa TP Mazembe, Patrick Mazembe, ameliambia Spoti Xtra kuwa; “Unajua wachezaji...