Trending Stories
View All
BWALYA: NITALIPIZA KISASI KWA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Al Ahly, Walter Bwalya amefunguka kuwa amejipanga kuhakikisha analipa kisasi cha kufungwa na Simba wakati…
ISHU YA NDAYIRAGIJE KUCHIMBISHWA STARS NGOMA NZITO
IKIWA tetesi zinaeleza kuwa Ettiene Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzana, Taifa Stars amesitisha mkataba wake, Shirikisho…
KAGERE AANDIKA HISTORIA MBELE YA AZAM
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Simba, Meddie Kagere ameandika historia mbele ya klabu ya Azam baada ya kufanikiwa kuifu nga timu…
YACOUBA, SARPONG, WAPUNGUZA PRESHA YANGA, SAIDO AWEKWA CHINI YA ULINZI
ZIKIWA zimebaki siku tatu pekee kabla ya kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, presha imeshuka ndani…
MUONEKANO WA LAKE TANGANYIKA, DIMBA LA FAINALI FA
HUU ndio muonekano wa uwanja wa Lake Tanganyika uliopo mkoani Kigoma, uwanja huu ndiyo utakaotumika kwenye fainali ya kombe…
JEMBE LA KAZI LAVUTWA NA KAZE,KUIVAA MBEYA CITY
BAKARI Mwamnyeto,nahodha msaidizi wa kikosi cha Yanga amerejea kambini baada ya kuwa na ruhusa maalumu kutokana na matatizo ya kifamilia.…
SIMBA YAJIPA MATUMAINI KUFANYA VIZURI KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameweka wazi kwamba wanaamini watafanya vizuri kimataifa kwa kuanza na mchezo wao…
DAVID MOYES:TULISTAHILI KUFIKA HATUA YA PENALTI FA
David Moyes, Kocha Mkuu wa West Ham United amesema kuwa wakati wakichapwa bao 1-0 dhidi ya Manchester United mchezo wa…
KMC YATIA TIMU RUKWA, KAMILI KUIVAA TANZANIA PRISONS
TIMU ya Manispaa ya Kinondoni, Jana, Februari 9 alfajiri ilisepa jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Rukwa kwa ajili ya…
AZAM FC KUMENYANA NA COASTAL UNION, LYANGA AREJEA NYUMBANI
KESHO kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele…
MEDDIE KAGERE:USHINDANI BONGO NI MKUBWA KILA IDARA
MTUPIAJI namba moja ardhi ya Bongo anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa ushindani umekuwa mkubwa kwa upande wa…
NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100
ASHA Masaka, ‘Ashamabao’ mshambuliaji wa timu ya Yanga Princess amesema kuwa kwenye kila mashindano huwa anafikiria kufunga mabao 100. Kwa…
INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY
BEKI wa kati Dickson Job ambaye ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kuna hatihati ataukosa mchezo wa kwanza kwenye mzunguko…
SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Februari 10 kinatarajiwa kuendelea na safari kuelekea Congo kwa ajili…
NADO: UKITAKA KUWAFUNGA SIMBA FANYA HIVI
KIUNGO mshambuliaji wa kikosi cha klabu ya Azam, Idd Selemani Nado ‘Idd Nado’ amefunguka kuwa namna rahisi ya kuwafunga Simba…
HAYA HAPA MAJUKUMU MAPYA YA CARLINHOS YANGA
KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze ameamua kumbadilishia majukumu kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Angola,…