Trending Stories
View All
ARSENAL WAPIGA MTU 4G, MASHABIKI WAMTAKA OZIL
MIKEL Arteta Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa uwepo wa mashabiki kwenye mchezo wao wa Europa League dhidi ya Rapid…
REKODI ZA SIMBA KWA MKAPA KIMATAIFA NI BALAA, WAARABU WALIKAA
REKODI ya Simba katika michuano ya kimataifa inapocheza katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa, imeonekana kuibeba zaidi timu hiyo…
JEMBE JIPYA LA YANGA LAPANIA KUFANYA MAKUBWA
SAID Ntibanzokiza nyota mpya wa Yanga amesema kuwa atapambana kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho ili kufikia mafanikio aliyonayo…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
YANGA WATAJA MBINU ITAKAYOWAPA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
BAADA ya kukaa kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameibuka na kuwaambia…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
KISSU ATAFUTIWA MBADALA WAKE NDANI YA AZAM FC
DANIEL Mgore, kipa namba moja ndani ya Biashara United jina lake limeshikiliwa na Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC, Vivier…
MASHABIKI WA YANGA WAPIGWA ‘PINI’ KIMTINDO NA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unawataka mashabiki wote watakaoingia Uwanja wa Mkapa kuishuhudia timu hiyo ikimenyana na Plateau United wavae…
SIMBA YAINGIA ANGA ZA KIPA MRUNDI, ALIWABANIA YANGA
JONATHAN Nahimana, kipa namba moja ndani ya kikosi cha Namungo FC kinachonolewa na Hemed Morroco amewekwa kwa mara nyingine tena…
KAZE: UBINGWA YANGA UNAHITAJI SUBIRA, USHINDANI NI MKUBWA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anatambua shauku ya mashabiki pamoja na viongozi wa Yanga kwamba ni kutwaa…
SIMBA WAITWA MEZANI KUPEWA MBADALA WA MUGALU
UONGOZI wa Gwambina FC umewaita mabosi wa Simba mezani ili kujadili juu ya suala la kumpata mshambuliaji wao namba moja,…
KMC YAWAITA MASHABIKI KUSHUHUDIA PIRA SPANA KESHO UHURU
WAKATI Simba wakitamba kwa mashabiki wao na pira biriani ndani ya uwanja, Coastal Union pira nazi, Azam FC pira…
MRITHI WA FRAGA NDANI YA SIMBA KUANZA KUONYESHA MAKEKE YAKE, WENGINE WANAKUJA
KIUNGO mpya wa Simba, Taddeo Lwanga ataanza kuonyesha makeke yake ndani ya uwanja baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa.…
KIUNGO WA YANGA KUIBUKIA AFRIKA KUSINI
NYOTA wa kikosi cha Yanga kiungo Mapinduzi Balama muda wowote kuanzia sasa anaweza kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi, usipange kukosa kupata nakala yako ni jero tu
BREAKING: LWANDAMINA ATUA AZAM FC KUCHUKUA MIKOBA YA CIOABA
BREAKING: George Lwandamina ambaye alikuwa kocha wa Yanga leo Desemba 2 ametua rasmi kwenye ardhi ya Bongo akitokea Zambia…