Trending Stories
View All
SIMBA YATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUFUNGA MABAO MENGI MBELE YA KAGERA SUGAR
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa wapinzani wao Kagera Sugar walicheza kwa kiwango bora jambo lililowafanya washindwe kuwafunga mabao…
UONGOZI WA YANGA WATAJA WALICHOJIFUNZA KWENYE SARE ZAO TATU MFULULIZO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa matokeo ya sare mfululizo waliyoyapa yamewafumbua macho na kuwafanya watambue kwamba ligi ya msimu huu…
KISA KICHAPO MBELE YA SIMBA, KOCHA AWACHANA WACHEZAJI WAKE JUU YA KIWANGO
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wachezaji wake hawakucheza vizuri kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya…
KMC YAKWAMA KUENDELEZA USHUJAA MBELE YA NAMUNGO ILIYOFUTA UTEJA WAKE
NAMUNGO FC iliyo chini ya Hitimana Thiery jana ilishinda mabao 2-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara…
LICHA YA KICHAPO CHA MABAO 2-1 MBELE YA MBEYA CITY, DIDA AWEKA REKODI YAKE
MLINDA mlango wa Lipuli ya Iringa, Deogratius Munish ‘Dida’ anaingia kwenye rekodi ndani ya msimu wa 2019/20 kuwa mlinda mlango…
POLISI TANZANIA YAKATAA SARE YAKE DHIDI YA YANGA
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa hakustahii sare kwenye mchezo wake wa jana dhidi ya Yanga kutokana…
HUU HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii
MUONEKANO WA UKURAAA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani, jipatie nakala yako
KAGERA SUGAR YATAJA KILICHOWAKWAMISHA MBELE YA SIMBA
JUMA Nyosso, nahodha wa Kagera Sugar amesema kuwa wapinzani wao Simba walitumia kosa moja walilofanya kuwaadhibu kwenye mchezo wao wa…
COASTAL UNION YABANWA MBAVU NA RUVU SHOOTING USIKU
MUDHATHIR Said alipachika bao la kuongoza mbele ya Coastal Union dakika ya 50 akiwa ndani ya 18 halikuwazuia Ruvu Shooting…
VPL: SIMBA 0-0 KAGERA SUGAR
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 Kagera SugarUwanja wa TaifaMchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa ni kati ya Simba…
JESHI LA KAGERA SUGAR DHIDI YA SIMBA
JESHI la Kagera Sugar litakaloanza dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa
MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KUU BARA, YANGA YABANWA, SINGIDA UNITED HALI TETE
FT: JKT Tanzania 0-0 Biashara United.FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC (Sixtus 71’ : Tariq 41’)...FT: Namungo FC 2-1 KMC…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa
MTIBWA SUGAR YAIPANIA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa unajipanga kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa kesho, Februari, 19 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma…
VPL:POLISI TANZANIA 0-0 YANGA
Kipindi cha kwanza:-Polisi Tanzania 0-0 YangaUwanja wa Ushirika,MoshiDakika ya 05 faulo wanapiga Polisi TanzaniaDakika ya 03 Yanga walipiga kona haikuzaa…