Trending Stories
View All
KWANINI WACHEZAJI HUVAA VEST ZA CATAPULT? KAZI YAKE NI HII
Bila shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine…
ETOO AMEANZA MABALAA YAKE..TANZANIA IWE NA TIMU 8 KIMATAIFA
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya…
GAMONDI ANAJIAMINI KINOUMA…AWACHIMBA BITI KENGOLD.
Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia kikosi chao kushinda kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya Ken Gold, Kocha Mkuu wa…
FREDDY AUKUBALI MOTO WA ATEBA…AITABIRIA SIMBA FAINALI
Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na…
FADLU: SIMBA INAENDA KUWA TISHIO
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo ambao wanaonekana kuanza kukisifia kikosi chao baada…
GAMONDI AWEKA WAZI SIRI YA USHINDI MKUBWA
Jumamosi Yanga ikicheza katika Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
DILUNGA HUMWAMBII KITU KWA CHAMA.
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi…
FADLU AWATAJA KIBU NA CAMARA MASHUJAA WA MNYAMA
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba juzi dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika, umempa…
THIENRY MANZI BEKI AL AHLI AMUOMBA MSAMAHA DEBORAH
Beki wa Al Ahli Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye…
MUDATHIR AFICHUA SIRI YA MABAO YAKE
BAADA ya kutupia bao moja na kutoa pasi mbili za mwisho zilizozaa mabao mawili kati ya sita yaliyofungwa na Yanga…
KAMA ULIPITWA NA “UHONDO”…HIVI NDIVYO SIMBA ‘ILIVYOWACHANIA MKEKA’ WAARABU JUZI…
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al…
MICHO: KWA SIMBA HII YEYOTE ANAKALIA
KOCHA wa zamani wa Yanga, Milutin ‘Micho’ Sredojevic, ameipongeza Simba kwa kiwango kizuri ilichokionyesha katika mchezo wa marudiano wa Kombe…
BEKI SIMBA ATAROKA KAMBINI…BALAA JINGINE LAIBUKA
WAKATI sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka likiwa bado halijaisha, limejibuka jipya kuhusu beki wa timu hiyo Mkongomani…
YANGA YADONDOKEA KWA VIGOGO AFRIKA
Yanga imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu…
MAKUNDI SIMBA NA YANGA KUJULIKANA OKT 7
Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya kombe la Shirikisho la itachezwa Oktoba 7,…
PIGA PENATI USHINDE MAMILIONI KUTOKA MERIDIANBET….
Chimbo la michezo ya kasino ya mtandaoni, kila siku inatambulishwa michezo mipya na rahisi kucheza, na kushinda pia. Expanse ndio…