SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUZUIWA KWA NAMUNGO NA JESHI ANGOLA
WAZIRI Mkuu wa Tanzania,Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itafuatiliwa suala la timu ya Namungo FC kushikiliwa na jeshi la Polisi nchini Angola.Namungo FC inayonolewa...
FISTON: YANGA SC TULIENI, NITAFUNGA TU
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Fiston Abdoul Razack amesema kuwa atafunga bila kuogopa ndani ya Yanga kila atakapopata nafasi. Nyota huyo leo anatarajiwa...
KOCHA SIMBA AFUNGUKIA USHINDI DHIDI YA AS VITA
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amefunguka kuwa ushindi walioupata dhidi ya AS Vita kwenye mchezo wa kwanza wa hatua...
NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO
Dickson Job, beki wa kati wa Klabu ya Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine Mbeya. Pia Saido...
MOURINHO MAMBO MAGUMU, KUKUTANA NA GUARDIOLA
KOCHA Mkuu wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho ni miongoni mwa makocha ambao wapo kwenye orodha ya makocha ambao wapo katika presha ya kufutwa kazi.Presha...
BAADA YA KUMALIZANA NA AS VITA KITUO KINACHOFUATA NI AL AHLY
BAADA ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Vita Club kwenye mchezo wa...
MAMLAKA YA ANGOLA YADAI KUWA WACHEZAJI WATATU NA KIONGOZI MMOJA ANA CORONA
KIKOSI cha Namungo FC kimezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda, nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi...
CHELSEA NA LIVERPOOL ZAVURUGWA, KISA DAYOT
MABOSI wa Bayern Munich wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Klabu ya RB Leipzig kupata saini ya nyota wao Dayot Upamecano kwa dau la...
AZAM FC:TUTARUDI KWENYE UBORA WETU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utapambana kusaka ushindi kwenye mechi zao ambazo zimebaki ili kurejea kwenye ubora.Kikosi hicho kinanolewa na Kocha Mkuu, George...
HUKO CONGO: SIMBA SC IMECHUKUA…IMEWEKA..WAAHHH..!!!!
KINSHASA. WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya mabingwa Afrika Simba wamefanikiwa kukusanya alama tatu muhimu ugenini baada ya kuifunga AS Vita bao 1-0 kwenye...