KOCHA CHELSEA AFIKIRIA KUONGEZA BEKI WA KATI

0
 INAAMINIKA kwamba nyota wa kikosi cha RB Leipzig,  Dayot Upamecano ni miongoni mwa orodha ya majina yaliyopo kwenye mpango wa Kocha Mkuu wa Chelsea, ...

MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA KAULI YA MATUMAINI KISA FISTON

0
YACOUBA Songne, mtambo wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga umesema kuwa uwepo wa nyota mpya, Fiston Abdoul Razack ndani ya kikosi hicho utawaongezea...

MZEE WA KUKERA MORRISON AAHIDI MAKUBWA NDANI YA TIMU YAKE

0
 BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa furaha yake ni kuona malengo ya timu hiyo yanatimia hivyo ataendelea kupambana.Hivi karibuni...

HESABU ZA MTIBWA SUGAR MZUNGUKO WA PILI ZIMECHORWA NAMNA HII

0
 HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wachezaji wake wameshaanza mazoezi kwa ajili ya mechi za mzunguko wa pili ambao anaamini kwamba...

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA KWA MKAPA

0
 ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba yapo vizuri na hawana mashaka yoyote.Azam...

YANGA YAWAITA MASHABIKI KUSHUHUDIA BURUDANI MBELE YA AFRICAN SPORTS LEO

0
 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi leo, Februari 6 Uwanja wa Azam Complex kushuhudia mchezo wa kirafiki kati yao dhidi...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi 

SAIDO AMTABIRIA MAKUBWA FISTON YANGA

0
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Said Ntibazonkiza 'Saido' amefunguka kuwa  mshambuliaji mpya wa klabu huyo Fiston Abdoul Razak atafanya mambo makubwa ndani ya...

SIMBA QUEENS HAKUNA KULALA, WAPIGA TIZI MARA TATU KWA WIKI

0
 KAMA ulidhani Simba Queens watabweteka na likizo ya kusimama kwa Ligi Kuu ya Wanawake, basi utakuwa umekosea sana kwani kikosi hicho kimemua kufanya mazoezi...

ISHU YA MKATABA WA CARLINHOS YANGA IKO HIVI

0
 KUFUATIA kiungo wa Yanga, Carlos Fernandes 'Carlinhos' kuwa nje kwa muda mrefu huku zikienea tetesi kuwa huenda mchezaji akaachwa mwishoni wa msimu huu, hatimaye...