MSERBIA WA YANGA AKABIDHIWA MAFAILI YA KAGERA SUGAR

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema amepokea faili zote za Kagera Sugar ambao wanapambana nao leo hivyo anaindaa timu yake kuhakikisha inawatesa...

SARPONG, MUANGOLA WA YANGA WAINGIA KWENYE MTEGO HUU MAZIMA

0
MICHAEL Sarpong, mshambuliaji ndani ya Klabu ya Yanga pamoja na kiungo Muangola, Carlos Carlinhos wameingia kwenye mtengo wa kwanza mazima ndani ya kikosi hicho...

MTAMBO WA MABAO NDANI YA AZAM FC PRINCE KUONJA JOTO YA JIWE

0
 PRINCE Dube, nyota wa Klabu ya Azam FC ambaye amehusika kwenye mabao matatu kati ya matatu ambayo yamefungwa na timu hiyo kuanza kuonja joto...

KAGERA SUGAR V YANGA NI BALAA TUPU, REKODI ZAIGOMEA SARE

0
LEO Kagera Sugar inawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni.Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga nje...

TRENT AMPA SAPOTI NYOTA MWENZAKE ROBERTSON

0
 BEKI Trent Alexander-Arnold wa Klabu ya Liverpool ameonekana akimpigia debe mchezaji mwenzake  Andy Robertson baada ya kuonesha vitabu vyake vipya kwenye gari yake huku akiwataka...

KOCHA YANGA AMPA MUDA YACOUBA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia ameibuka na kumkingia kifua straika wake, Yacouba Songne kwa kusema kuwa anahitaji muda kwa ajili...

POPPE:NASUBIRI HUKUMU KUTOKA TFF

0
 MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Zacharia Hans Poppe ameshangaa kuona hadi leo Kamati ya...

HIVI HAPA VIKOSI KAZI VIWILI MATATA VYA YANGA

0
 KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic, tayari ametengeneza vikosi viwili vya timu hiyo katika kupata kimoja ambavyo alivitumia katika mchezo wa kirafiki dhidi...

ISHU YA VIINGILIO SIMBA YAACHA GUMZO

0
 OFISA Habari wa Simba SC, Haji Manara amesema Bodi ya Ligi (TPBL) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wameridhia maombi ya kushusha viingilio vya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Jumamosi.