BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO
KLABU ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.Kocha huyo anatarajiwa kutua...
WINGA SIMBA AIBUKIA POLISI TANZANIA
RASHID Juma, winga wa Simba amejiunga na Klabu ya Polisi Tanzania kwa mkopo kwa wa mwaka mmoja. Nyota huyo msimu wa 2020/21 atakuwa ndani...
YANGA YAWAITA MASHABIKI UWANJA WA MKAPA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Oktoba 30, Uwanja wa Mkapa kwenye kikele cha wiki ya Mwanachi....
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MTUPIAJI WA YANGA PRINCESS ASAINI SIMBA QUEENS
SHELDA Boniphace mshambuliaji wa Yanga Princess msimu wa 2019/21 ameibukia ndani ya watani zao wa jadi Simba Quuens. Akiwa ndani ya Yanga Princess kwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MASHINE MPYA ZA SIMBA ZAMPA WAKATI MGUMU SVEN
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji kutokana na kuwa wengi huku wote...
NAMUNGO FC YAIPIGIA HESABU SIMBA NGAO YA JAMII
KOCHA Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba. Mtanange...
AZAM FC YAIFUNGA BAO 1-0 KMC
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Klabu ya KMC.Bao la ushindi kwa Azam FC lilipachikwa na mshambuliaji wao ingizo...
MESSI ANUKIA KUTUA MANCHESTER CITY
IMERIPOTIWA kwamba baba mzazi wa Lionel Messi, mzee Jorge Messi, amewasili katika jiji la Manchester kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kufanya mazungumzo na Klabu...