SIMBA: YANGA ITAKUTANA NA BALAA LA BWALYA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga ambayo inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa imepangwa...
AZAM FC YAFUNGA KAZI NA MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA
ALAIN Thiery kutoka nchini Cameroon ni funga kazi ndani ya Azam FC akisaini dili la miaka miwili. Leo Agosti 24 ametambulishwa ndani ya Klabu...
MAJUKUMU MAPYA YA SENZO WA SIMBA NDANI YA YANGA HAYA HAPA
KLABU ya Yanga leo Agosti 24 imemtambulisha rasmi aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa kuwa mshauri wao. Senzo atashirikiana na uongozi wa klabu...
NYOTA MPYA MTIBWA SUGAR ATOA AHADI HII KWA WANA TAMTAM
BARAKA Majogoro kiungo mpya ndani ya Mtibwa Sugar amesema kuwa msimu ujao 2020/21 ndani ya Mtibwa Sugar watapambana kufikia malengo ambayo wamejiwekea ili kutoa...
SENZO WA SIMBA APEWA MASUALA YA LA LIGA YANGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utafanya kazi kwa ushirikiano na aliyekuwa Mtendaji Mkuu ndani ya Klabu ya Simba, Senzo Mbatha kwa kuwa ni mtu...
MASHABIKI YANGA WAOMBWA KUSAJILI WACHEZAJI WAWILI WA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa una wachezaji wawili wazuri wa kimataifa ambao tayari umeshazungumza nao ila unapenda kurejesha usajili wao mikononi mwa mashabiki ili...
ISHU YA KONDE BOY NA WAWA KUREJEA SIMBA IPO HIVI
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu amesema kuwa nyota wake wawili wa kikosi cha kwanza ambao ni Pascal Wawa raia wa Ivory Coast na Luis Miqussone...
SERIKALI YAIPA TANO AZAM FC
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Harisson Mwakyembe amesema kuwa Klabu ya Azam FC imeongeza thamani ya soka nchini na kujitengenezea nafasi ya...
BAYERN MUNICH MABINGWA LIGI YA ULAYA, NEYMAR AMWAGA MACHOZI
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Ujerumani, Bayern Munich usiku wa kuamika leo wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushinda bao...
CHIRWA OBREY, SIMCHIMBA WAKIWASHA AZAM FESTIVAL
AZAM FC inayonolewa na Arstica Cioaba, jana Agosti 23 kwenye kilele cha Azam Festival iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Namungo FC...