YANGA YAZIDI KUNOGA NA VIFAA VIPYA,SIMBA NAO WAMO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
USIPANGE kukosa nakala ya kesho ya Gazeti la Championi Jumamosi
MEDDIE KAGERE NDANI YA NYUMBA, KESHO KILELE CHA SIMBA DAY
MTUPIAJI namba moja wa Simba, Meddie Kagere leo Agosti 21 amewasili nchini akitokea Rwanda alikokuwa kwa ajili ya mapumziko mafupi.Kagere ni mshambuiaji bora kwa...
JEMBE JIPYA LA KAZI LATUA LEO KUMALIZANA NA YANGA
RASMI mshambuliaji Michael Sarpong raia wa Ghana leo Agosti 21 ametua Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao wanaimarisha kikosi chao.Sarpong yeye...
MORRISON APEWA JEZI YA SANTOS
RASMI, kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mghana, Bernard Morison, amekabidhiwa jezi namba tatu aliyokuwa anaivaa beki wa kati wa timu hiyo, Mbrazili, Tairone do...
MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA
Mshambuliaji mghana, Michael Sarpong anatarajiwa kutua nchini Tanzania leo akitokea nchini Ghana kuja kumalizana na Klabu ya Yanga.Kwa sasa Yanga inajiimarisha kwa kusajili wachezaji...
SIMBA YAAGIZA GPS ZA WACHEZAJI, LENGO KUWAFUATILIA KILA HATUA
MWENYEKITI wa Bodi ya Klabu ya Simba na Mwekezaji Mohammed Dewji amesema ameagiza vifaa kwa ajili ya kuwamonitor wachezaji wake (GPS). Mo amesema hayo leo,...
MAXIME HAUZWI AENDELEA KUKINOA KIKOSI CHA KAGERA SUGAR, MECHI ZAKE HIZI HAPA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ndani ya msimu wa 2020/21 mchezo wake wa kwanza utakuwa dhidi ya JKT Tanzania,utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba.Maxime...
HAJI AWAPA TANO YANGA, AWACHOKONOA ISHU YA KUMBEBA KIONGOZI JUU
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anawapenda mashabiki wa Yanga kwa kuwa ni wavumilivu ila kitendo cha kumbeba kiongozi wao juu ni...
NAMUNGO FC YAMALIZANA NA JEMBE LA KAZI KUTOKA KENYA
Amani Kyata, beki wa kati amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Namungo. Beki huyo amejiunga na Namungo FC akitokea Klabu ya Kariobangi Sharks...
YANGA WAAENDELEA KUIVUTIA KASI RAYON SPORTS
KIKOSI cha Yanga leo Agosti 21 kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6.Yanga ilianza mazoezi...