BREAKING:MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA
Bernard Morrison ameshinda kesi yake leo kuhusu mkataba wake Kamati imeeleza kuwa kulikuwa na mapungufu Kwenye Ukurasa wa saini kukutwa umekatwa ni baadhi ya...
ISHU YA MORISON NGOMA NZITO, MASHABIKI WAJITOKEZA, DIFENDA IPO TFF
LEO ni siku ya tatu kwa kuendelea kuskilizwa kwa kesi ya kiungo mshambuliaji wa Yanga ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF).Ilianza kusikilizwa Agosti 10...
RASMI BEKI MBAO ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC
Azam FC leo Agosti 12 imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto, Emmanuel Charles, akitokea Mbao kwa usajili huru. Charles usajili wake...
SERIKALI YASHANGAZWA NA SAKATA LA MORRISON KUTUMIA MUDA MREFU
SERIKALI imesema kuwa inashangaa na suala la maamuzi ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison kucheleweshwa kutolewa hukumu.Mwakyembe amesema kuwa suala hilo likifika mikononi...
GEITA FC NAO WASHUSHA MAJEMBE YA KAZI
AMRI KibengoTanganyika kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Inter Stars De Bujumbula ya Burundi msimu wa 2020/21 atakipiga ndani ya Geita FC ya...
BREAKING: AZAM FC YASHUSHA JEMBE JINGINE LA KAZI
Aliyekuwa beki wa kushoto wa Mbao, Emmanuel Charles, amefuzu vipimo vya afya, tayari kujiunga na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao.Habari zinaeleza kuwa...
BREAKING:FARID MUSSA ASAINI YANGA RASMI
BREAKING: FARID Mussa, winga aliyekuwa anakipga ndani ya CD Tennerife ya Hispania leo ametangazwa rasmi kuwa mali ya Yanga kwa dili la miaka miwili.
RAGE:SUALA LA MORRISON JEPESI ILA MAMBO YANAKUZWA
MWENYEKITI wa zamani wa Simba ambaye aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Ismael Rage amesema kuwa sakata la...
MGORE KIPA NAMBA MOJA WA BIASHARA UNITED ATAJA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YAKE
KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Biashara United, Daniel Mgore amesema kuwa kikubwa kinachombeba ndani ya uwanja ni kujiamini na kufanya kazi kwa...
ULINZI MAKAO MAKUU YA SOKA TANZANIA ACHA KABISA
ULINZI mkubwa ulitawala jana kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison akisubiria hukumu yake.Hiyo ikiwa ni siku...