DEO KANDA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

0
 INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Deo Kanda amesaini dili la miaka miwili ndani ya Yanga. Tayari dirisha la usajili limefunguliwa tangu Agosti Mosi...

NYOTA MPYA YANGA ATAKA KUFUNGA MABAO ZAIDI YA 30

0
 WAZIR Junior, nyota mpya ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa anahitaji kufunga mabao zaidi ya 30 kwa msimu wa 2020/21.Junior amejiunga na Yanga...

SUALA LA MORRISON KUIBUKIA SIMBA PICHA BADO LINAENDELEA

0
 BAADA ya Simba kumtangaza Bernard Morrison kuibukia ndani ya kikosi cha Simba akitokea Yanga, tayari jambo jingine limeibuka baada ya Shirikisho la soka Tanzania,...

PIRLO ARITHI MIKOBA YA SARRI KWA MIAKA MIWILI JUVENTUS

0
MCHEZAJI wa zamani wa Juventus, Andrea Pirlo ameteuliwa kuwa kocha wa timu hiyo, saa chache baada ya Maurizio Sarri kutimuliwa. Pirlo mwenye miaka  41, amesaini...

KOCHA LIPULI ABWAGA MANYANGA

0
BAADA ya kushuhudia Lipuli ikishuka daraja kwa msimu wa 2019/20, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Nzeyimana Mailo ameamua kuachana na kikosi hicho jumlajumla.Lipuli ya...

NYOTA WA HISPANIA ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGIKIA DILI LAKE

0
 INAELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mazungumzo na kiungo wa zamani wa Azam FC na CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa ili kukamilisha dili lake...

LEWANDOWSKI AYEYUSHA MATUMAINI YA CHELSEA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

0
 ROBERT Lewandowski nyota wa Bayern Munich alikuwa na jambo lake usiku wa kuamkia leo Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea...

JINA LA YONDANI LAUNGANISHWA NA NGASSA KUIBUKIA GWAMBINA

0
 KELVIN Yondani, mkongwe aliyezipiga Simba na Yanga kwa nyakati tofauti jina lake inaelezwa kuwa limeunganishwa na la Mrisho Ngassa kuibukia ndani ya Gwambina FC...

YANGA WATAJA SIKU YA MAJEMBE YAO KUTUA BONGO

0
 RASMI Kampuni ya GSM chini ya Mkurugenzi wa Uwekezaji, Injinia Hersi Said imesema kuwa wachezaji wao wa kimataifa wataanza kutua Agosti 15, mwaka huu...

HAWA HAPA NYOTA WANNE SIMBA IMEMALIZANA NAO JUMLAJUMLA

0
TAYARI mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, na Kombe la FA wamemalizana na nyota wanne wa kazi ambao msimu ujao watakuwa na uzi mwekundu.Baada...