MBAO FC WAO NI WABISHI KINOMA, CHEKI MAFANIKIO YAO NA HESABU
MBAO FC wao wanajiita wabishi ni Klabu ambayo inapatikana kanda ya ziwa ikiwa chini Kocha Mkuu, Abulmutik Haji ambaye msimu wa 2018/19 alikuwa ndani...
HUYU HAPA ALIYEMBANIA KAGERE ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA ABAROLA AZAM FC
DANIEL Mgore mlinda mlango wa Biashara United anatajwa kuwekwa kwenye rada za mabosi Azam FC ambao wanahitaji saini yake jumlajumla.Habari zinaeleza kuwa tayari mabosi...
YANGA YAITWA MEZANI IPEWE MTUPIAJI HUYU
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa iwapo Yanga inahitaji saini ya nyota wao Bigirimana Blaise ni suala la kuzungumza kwani inawezekana.Imekuwa ikielezwa kuwa Yanga...
KUMBE UNAI HAKUMTAKA PEPE
UNAI Emery, Kocha Mkuu wa zamani wa Klabu ya Arsenal amesema kuwa hakuwa anahitaji saini ya kinda Nicolas Pepe isipokuwa alikuwa anaitaka saini ya...
BAKARI MWAMNYETO: MAMBO YAKIWA FRESH, NINASAINI YANGA
NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amesema kuwa kama mazungumzo yakienda vizuri, basi huenda akatua kukipiga Yanga...
SIMBA KWENYE LIGI KUU BARA WAMEKUMBUKA HIKI HAPA
PASCAL Wawa, beki kisiki ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa miongoni mwa vitu ambavyo anavikumbuka ni mpira ule wa ushindani.Ligi Kuu...
MASHINE HIZI TANO ZAWEKWA KWENYE RADA KUMALIZA TATIZO LA UBUTU WA USHAMBULIAJI NDANI YA...
MABOSI wa Yanga mkononi wana majina zaidi ya matano ya washambuliaji ambao wanawahitaji kwa msimu ujao kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.Miongoni...
AZAM FC YAHAMIA SASA KWENYE JUKWAA
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa baada ya ukarabati wa sehemu ya kuchezea (pitch) kukamilika vizuri, sasa Azam FC imeanza rasmi kukarabati...
IGHALO HATA HAELEWI HATMA YAKE INAKUAJEKUAJE YAANI
ODION Ighalo, mshambuliaji wa Manchester United ambaye yupo hapo kwa mkopo hajui hatma yake itakuaje msimu ujao.Mkataba wake ndani ya United unameguka Mei 31...
LAZIMA TUJIFUNZE, MAANA SIKU TATU ZA BUNDESLIGA ZIMETUPA SIRI KIBAO
Na Saleh AllyUNAWEZA kusema kama ni majibu ya jambo fulani wakati mwingine yanahitaji muda. Lakini siku mbili za Ligi Kuu ya Ujerumani au Bundesliga...