TEGETE AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI

0
JERSON Tegete nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Alliance amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya...

UWEZO WA KAPOMBE WAMVUTIA BEKI HUYU ANAYEKIPIGA KCB, ATAKA KUJA SIMBA

0
SIMBA ishindwe yenyewe kwa beki wa kati wa timu ya taifa ya Kenya na Klabu ya KCB ya nchini humo, Michael Kibwage ambaye amesema anatamani kucheza...

TSHISHMIBI NA FEI TOTO WAMVUTA NDANI YA YANGA KIUNGO MKALI WA KENYA

0
YIDAH Sven, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya amesema kuwa anavutiwa na uwezo wa kiungo Papy Tshishimbi na Fei Toto...

BOGA AYAKUMBUKA MAISHA YA CHELSEA

0
KIUNGO Jeremie Boga nyota wa Klabu ya Sassuolo amefunguka kwa sasa klabu yake bora ni hapo aliposasa, ila hawezi kuisahau klabu ya Chelsea siku...

BAO PENDWA LA KIUNGO FUNDI WA SIMBA HILI HAPA

0
KIUNGO wa Simba Luis Miqussone amelitaja bao lake bora tangu ajiunge na Simba kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu Januari, akitokea Klabu ya...

ZAHERA AMCHOMOA BOCCO MSIMBAZI

0
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amemwambia, straika nguli wa Simba, John Bocco, 30, bado anaweza kutisha katika soka la Afrika nje ya Tanzania...

JACOB MASAWE YEYE NA NYAVU TU

0
Jacob Masawe nahodha wa Gwambina FC amekuwa wenye ubora wake kwa kucheka na nyavu.Msimu huu kabla ya Ligi Daraja la Kwanza kusimamishwa alikuwa ametupia...

WACHEZAJI WAPEWA SOMO HILI KULINDA VIPAJI VYAO

0
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard amesema kuwa ili mchezaji adumu kwenye ubora wake ni lazima awe na nidhamu ndani ya uwanja na...

KOCHA SIMBA AWATAKA AKINA LUIS WENGINE ZAIDI

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anahitaji viungo wakali wenye uwezo mithili ya Miqussone ambao anaamini watampa matokeo ndani ya uwanja. Miqussone...

MEDDIE KAGERE AMJIBU KIBABE BOSSI WAKE SVEN

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameamua kumjibu kibabe bosi wake mkubwa kwenye benchi la ufundi Sven Vandenbroeck wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya...