MAJEMBE HAYA MAWILI YA KAZI AYAKUBALI AJIBU

0
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao alikuwa na muungano nao bora ndani ya uwanja ni pamoja na Obrey...

THAMANI YA MZAMBIA ANAYEWINDWA NA SIMBA LAZIMA UKAE

0
 JUSTIN Shonga,mshambuliaji wa kimataia wa Zambia ni miongoni mwa wachezaji ghali sokoni hivyo kibongobongo kuvunja benki ili kuipata saini yake lazima ukae.Mzambia huyo amekuwa...

ISHU YA MAZEMBE KWA AJIBU ILIWEKWA MIKONONI MWA SAMATTA

0
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa dili lake la kutua Simba aliwashirikisha ndugu zake pamoja na nahodha wa timu ya Taifa ya...

HILI HAPA KOSI MATATA LA YANGA LITAKAVYOKUWA

0
HESABU za Yanga iwapo zitakubali kuwapa nyota wale ambao inaelezwa kuwa wapo kwenye mpango wa kusajili msimu ujao basi hili jeshi la Yanga litakuwa...

KAGERE AMEKUMBUKA MPIRA, CORONA YAMFANYA ASHINDE NDANI

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa hakuna anachokifanya nchini Rwanda zaidi ya kujifungia ndani kuchukua tahadhari...

KIUNGO YANGA AOMBA MKATABA SIMBA

0
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga na timu hiyo.Coutinho anayekipiga...

HESABU ZA KAGERA SUGAR ZIPO NAMNA HII, CORONA ILITIBUA MAMBO

0
BADO mambo hajawa shwari kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kusambaa kwa kasi duniani huku shughuli nyingi zikiwa zimesimamishwa.Timu...

PSG YAPELEKA UBINGWA KWA MADAKTARI WANAOPAMBANA NA CORONA

0
NAHODHA wa PSG, Thiago Emiliano da Silva amesema kuwa wameshinda ubingwa wa maajabu ambao ni mali ya madaktari dunia nzima.PSG walitangazwa kuwa mabingwa wa...

KWA MAJEMBE HAYA, YANGA YAPEWA TANO

0
BEKI wa kulia wa Yanga, ambaye ni nahodha msaidizi, Juma Abdul, ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika harakati zake za kutaka kuwasajili Relliants Lusajo...

MCHEKA NYAVU NAMBA MOJA NDANI YA MBAO FC ATAJA KINACHOMBEBA

0
MIONGONI mwa wazawa ambao wana urafiki na nyavu ni ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Wazir Jr anayekipiga ndani ya Mbao FC.Mbao...