NYOTA HAWA WATANO WAKUBALI KUMWAGA WINO JUMLAJUMLA SIMBA
WACHEZAJI hawa watano wamekubali jumlajumla kutua ndani ya Klabu ya Simba kukipiga msimu ujao iwapo utaratibu utafuatwa:- Jemmy Mumbere yeye ni kiungo wa AS...
NIYONZIMA ATUMA OMBI ZITO,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili
MTUPIAJI NONGA AINGIA ANGA ZA YANGA
PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli inaelezwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wake wa zamani Yanga ambao wanataka kurejesha saini yake.Nonga aliwahi...
MO DEWJI FOUNDATION NA KLABU YA SIMBA WASHIRIKIANA KUGAWA BARAKOA 25,000 DAR
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wamekabidhiwa barakoa kwa ajili ya kujilinda na homa kali ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na...
TAIRONE YULE BEKI MBRAZILI WA SIMBA AMETOA YA MOYONI
BEKI wa Simba, Mbrazili, Tairone Santos da Silva, amefichua kilichopo moyoni mwake kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine hapa nchini kusimama.Mbrazili...
JUMA KASEJA:WACHEZAJI WENGI VIWANGO VITAPOROMOKA
JUMA Kaseja kipa mkongwe ndani ya ardhi ya Bongo anayekipiga ndani ya Klabu ya KMC amesema kuwa wachezaji wengi wameshuka viwango kutokana na kukaa...
CLATOUS CHAMA WA SIMBA AWATAJA WAARABU
KIUNGO wa Simba, Clatous Chota Chama, amesema kuwa mechi yake bora zaidi ya kimashindano katika ngazi ya klabu ni ile ya hatua ya makundi...
MSHAMBULIAJI WA SIMBA AOMBA NAMBA JUMLA YANGA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo ameibuka na kusema anatamani kuona anarejea kuchezea timu kubwa tena nchini ikiwemo Yanga kwani lengo lake...
DILI LA BEKI NKANA KUTUA NDANI YA YANGA LIMEVURUGWA NA MAZAWA HUYU
DILI la beki wa kati wa Nkana Rangers raia wa nchini Kenya, Mussa Mohammed huenda lisikamilike kutua Yanga, ni baada ya timu hiyo kuwa...