DONALD NGOMA NI NGOMA NZITO NDANI YA AZAM FC
DONALD Ngoma, mshambuliaji wa Azam FC ngoma ni nzito ndani ya kikosi hicho msimu huu kutokana na kushindwa kufurukuta kikosi cha kwanza huku akipotezwa...
ZLATAN IBRAHIMOVIC AWINDWA NA MABOSI WA SWEDEN
ZLATAN Ibrahimovic staa anayekipiga ndani ya Klabu ya AC Milan amewekwa kwenye rada na Klabu ya Hammarby ya nchini Sweden ambayo inataka kumpata akimalizana...
MKE WA ICARD AKOLEZA MOTO MUMEWE KUIBUKIA ARSENAL
WANDA Nara mke wa mshambuliaji wa Paris Saint -Germain (PSG) anayecheza huko kwa mkopo akitokea Inter Milan amechochea moto wa nyota huyo kusepa ndani...
MITAMBO MIWILI YA KAZI YANGA NI BALAA, JEZI ZAO WOTE NAMBA SARE
HERITIER Makambo nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Horoya FC anatajwa kurejea ndani ya Klabu hiyo msimu ujao.Makambo alidumu Yanga...
JONAS MKUDE RUKSA KUSEPA SIMBA, TP MAZEMBE WAITWA MEZANI
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba ni miongoni mwa wazawa wenye vipaji ambao kwa sasa inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za...
WATANO WAKUBALI KUTUA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, mashine tano zakubali kutua Simba
NDEMLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU SIMBA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
KESHO ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa
ISHU YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI ILIYOTINGA TAKUKURU, MEJIBIWA NAMNA HII NA TFF
ISHU ya TAKUKURU kueleza kuwa wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya bilioni moja iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano...
FIFA YAIBONYEZEA CHEKUNDU TUZO YA MCHEZAJI BORA 2020 MAZIMA
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona. Tuzo...
MABEKI HAWA WAWILI WA SIMBA PASI ZAO ZA MWISHO ZILIMDONDOKEA KAGERE
LICHA ya kuwa ni mabeki Passcal Wawa na Shomari Kapombe ni mitambo ya mabao hawa wawili ndani ya Simba wamehusika kwenye mabao sita ndani...