MANCHESTER UNITED, BARCELONA ZAKUTANA KWA MTUPIAJI HUYU FUNDI
MSHAMBULIAJI tegemeo wa Klabu ya Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang yupo kwenye hesabu za kuwindwa na Barcelona na Manchester United.Nyota huyo raia wa Gabon anayekipiga...
YANGA WACHEKELEA SAPOTI YA MDHAMINI KUMWAGA MKWANJA
JUMA Abdul nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mdhamini wao GSM amewaongezea nguvu ya kufanya mazoezi wakiwa nyumbani kutokana na kupewa fursa ya kufanya...
HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA FEI TOTO
FEISAL Salum nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona na kufanya mazoezi binafsi...
THOMAS PARTEY APIGIWA HESABU KALI NA ARSENAL
KIUNGO Thomas Partey raia wa Ghana yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya timu ya Arsenal.Nyota huyo raia wa Ghana amekuwa akihusishwa kutua ndani...
MASHINE NYINGINE YA KAZI HII HAPA KUTUA SIMBA
IBRAHIM Ame, beki anayekipiga ndani ya Coastal Union naye ameunganishwa kwenye jalada la Bakari Mwamnyeto ambaye inaelezwa anawindwa na Simba.Ligi ikiwa imesimama kwa sasa...
KIUNGO HUYU ANAYEKIPIGA KENYA AKUBALI KUSAINI YANGA
NEEMA imewaangukia Yanga baada ya meneja wa kiungo, Yidah Sven anayekipiga katika Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya, kukubali kumuachia mchezaji huyo kama Yanga itawasilisha...
HAWA JAMAA 18 WANA UWEZO KINOMA ILA WAMEJENGA USHKAJI NA BENCHI
1.Ramadhan Kabwili anakipiga Yanga 2. Haruna Shamte yupo zake Simba3. Gardiel Michael maisha yake ni ndani ya Simba4.Yusuf Mlipili yupo Simba5. Abdallah Sebo ndani ya...
BANDA AWASHUKURU WATANZANIA KWA KUMTAKIA KHERI YA KUZALIWA
ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Highlands Parks amewashukuru watazania wote ambao wamemtakia kheri kwenye siku yake...
DILI LA NYOTA ANAYEWINDWA NA YANGA PAMOJA NA SIMBA LAINGIA DOA, HAWA HAPA WAMETIBUA
HASSAN Zidadu, Mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa mkataba wa nyota wao Relliants Lusajo unameguka hivi karibuni ila wameanza mazungumzo naye.Lusajo ambaye ni...