MANCHESTER UNITED WAMEAMUA KUINASA SAINI YA KINDA HUYU
MANCHESTER United imeingia kwenye vita ya kuwania saini ya kinda anayekipiga ndani ya Klabu ya Birmingham City mwenye uwezo mkubwa Jude Bellingham.Ripoti zinaeleza kuwa...
UHONDO WA PREMIER KUREJEA JUNI 8
IMEELEZWA kuwa, Ligi Kuu ya England maarufu Premier, huenda ikarejea wiki ya kuanzia Juni 8, mwaka huu baada ya kikao cha majadiliano ya lini...
BEKI WA TANZANIA PRISONS AWAKIMBIZA MABEKI WOTE BONGO KWA KUCHEKA NA NYAVU
SALUM Kimenya beki kiraka anayekipiga ndani ya Klabu ya Tanzania Prisons amewakimbiza mabeki wote wanaokipiga ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheka na nyavu.Kabla...
KIUNGO ALIYEKIPIGA SIMBA NA YANGA AMPA SOMO MWAMNYETO
KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Simba na Yanga Athuman Idd Chuji amesema kuwa kwa sasa ndani ya Bongo mchezaji mwenye thamani kwa wazawa...
KOCHA YANGA ATAJA KINACHOWAPONZA MAKIPA BONGO KUPOTEZWA NA WAGENI
PETER Manyika, Kocha wa makipa ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa viwango vya magolikipa wa kigeni ni vya kawaida ukilinganisha na vile vya...
MORRISON BALAA LAKE LILIKUWA NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU BARA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ametumia uwanjani jumla ya dakika 852 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kuonyesha balaa lake.Kabla ya ligi kusimamishwa...
NYOTA HUYU KIPENZI CHA MASHABIKI ATAJWA KUREJEA JANGWANI
INAELEZWA kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao wanahitajika kurudi ndani ya Klabu ya Yanga ni pamoja na staa wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga Horoya.Msimu...
CHAMA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA SIMBA
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba ameweka wazi muda ambao bado atakuwa ndani ya Klabu ya Simba.Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu huu...
MTUPIAJI MWINGINE HUYU WA CONGO AINGIA ANGA ZA YANGA
LELO Amfumu ni nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rangers inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Nafasi yake ni ushambuliaji na ni miongoni mwa washambuliaji ambao...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani jipatie nakala yako