SHEVA, KIUNGO MZAWA HIVI NDIVYO ALIVYOZUIA USAJILI
KUREJEA kutoka kwenye majeraha kwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’ kumezuia usajili wa kiungo wa Polisi Tanzania, Sixtus Sabilo na Lucas Kikoti...
WATANZANIA WATATU WATWAA UBINGWA HUKO CONGO
NYOTA watatu kutoka ardhi ya Bongo ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada...
MTIBWA SUGAR YAZITAKA SIMBA NA YANGA ZIJIPANGE KUINGIA ANGA ZAO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa Simba na Yanga zinapaswa zijipange kunasa saini za nyota wao kutokana na mikataba yao kuwa mirefu kwa wachezaji...
HAPA NDIPO WALIPOPISHANA JEMBE NA MAREHEMU RUGE
MIONGONI mwa walioleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo Fleva jina la marehemu Ruge Mutahaba halikosekani kutokana na kuwa mpambanaji na muongoza njia huku akiwabadilisha...
KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WATAKAOPUUZIA MAZOEZI LIGI ITAWAUMBUA
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa ni suala la kusubiri tu kwa sasa kabla ya wachezaji wazembe muda wao wa kuumbuka ndani...
BANDA: MAMBO MAGUMU HATA HUKU SIO BONGO PEKEE
ABDI Banda, nyota wa Tanzania anayepiga soka la kulipwa nchini Afrika Kusini amesema kuwa mambo magumu hata huko aliko Afrika Kusini kutokana na Ligi...
NATAMANI KUMFAHAMU KIONGOZI WA SIMBA ANAYEMBANIA, ANAYEMFANYIA FITNA MANARA…
Na Saleh AllyHAJI Manara ni mtaalamu sana katika suala la propaganda, anajua afanye nini kwa wakati gani, acheze na kipi kuhusiana na jambo husika...
ATLETICO MADRID YAWAGEUZIA KIBAO ARSENAL KWA PARTEY
KLABU ya Atletico Madrid imegeuza gia angani kuhusu dili la mchezaji wao Thomas Partey ambaye amekuwa akitajwa kuwindwa na Klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu...
KIPA BIASHARA UNITED AWA BIASHARA KWA MATAJIRI WA BONGO NA KMC
DANIEL Mgore kipa namba moja ndani ya Klabu ya Biashara United inaelezwa kuwa amewekwa kwenye rada za Klabu ya KMC na matajiri wa Dar,...
MABEKI HAWA CHIPUKIZI WAPELEKWA DARASANI NA KIRAKA ERASTO NYONI
ERASTO Nyoni kiraka wa Simba ni miongoni mwa wakongwe ambao muda wote ndani ya uwanja wanafanya vema huku wakiwapeleka darasani mabeki chipukizi wanaokipiga klabu...