BMT WAANZA MCHAKATO WA KUKUSANYA MAONI KUHUSU UKOMO WA WACHEZAJI WA KIGENI
BARAZA la Michezo Tanzania, (BMT) limewaomba wadau kuanza kutoa maoni yao kupitia mitandao ikiwa ni pamoja na Facebook, Instagram barua pepe na tovuti kuhusu...
MAMBO YAKIJIBU TU, KOSI MATATA LA SIMBA LITAKUWA NAMNA HII
Chama lijalo la Simba iwapo mambo yatajibu litakuwa namna hii:- Langoni atasimama Aishi ManulaErasto NyoniYakub Mohamed wa Azam FCShomari KapombeMohamed HusseinFrancis KahataBaraka Majogoro wa...
MBALI NA KUPENDA KUKU WA BONGO KINGINE HIKI HAPA ANACHOPENDA MBRAZIL WA SIMBA
GERSON Fraga, raia wa Brazil nyota anayekipiga ndani ya Simba amesema kuwa miongoni mwa vitu anavyovipenda ndani ya ardhi ya Bongo mbali na kuku...
MATUMAINI YAMEANZA KUONEKANA LIGI KUREJEA ILA KUNA UMUHIMU WA KUANZA MAANDALIZI
MATUMAINI yameanza kurejea kwa familia ya wanamichezo baada ya Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, kusema kuwa kuna mpango...
NYOTA YANGA AMKARIBISHA MSHAMBULIAJI WA SIMBA KIKOSINI
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa Polisi Tanzania anayekipiga kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba amesema kuwa mshikaji wake Ditram Nchimbi anayekipiga ndani ya Yanga amemkaribisha...
MSHAMBULIAJI WA ORLANDO PIRATES AKUBALI KUTUA SIMBA
JUSTIN Shonga, mshambuliaji wa Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini amekubali kutua ndani ya Klabu ya Simba iwapo utaratibu utafuatwa.Raia huyo wa Zambia...
KLOPP ALIWAHI KULEWA CHAKARI MPAKA KUPOTEZA KUMBUKUMBU
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hakumbuki chochote juu ya Klabu ya Borussia Dortmund kutwaa ubingwa wa Bundesliga msimu wa 2011/12 wakati...
MILIONI 800 ZAFUMUA KIKOSI SIMBA NDANI YA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazetila Championi Jumatano
NYOTA SIMBA AKUBALI KUTUA YANGA
KIUNGO Mohammed Ibrahim, 'Mo' amesema kuwa yupo tayari kujiunga na Yanga kwenye msimu ujao kama wakihitaji saini yake.Nyota huyo anakipiga kwa mkopo Namungo FC...
KUMBE MAJUNGU YALIMUONDOA NDANI YA YANGA TAMBWE
AMIS Tambwe, mshambuliaji wa zamani wa Yanga, amesema kuwa anaamini ni majungu tu ya watu wasiopenda mafanikio yake, ndiyo yalichangia yeye kuondoka ndani ya...