SIMBA YAKATA TAMAA LIGI KUU…”HAMNA SIRI YOYOTE”…WINGA HUYU AFUNGUKA A-Z
Winga wa Klabu ya Simba, Edwin Balua amesema kuwa malengo yao kwa sasa ni kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya NBC ili...
SEHEMU SAHIHI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO NI MERIDIANBET….
Leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali na nani arudi nyumbani kwenye ligi za mabingwa ambapo leo na kesho kitawaka vilivyo yaani ni...
RAMANI KAMILI YA UBINGWA WA LIGI KUU YANGA HII HAPA…AISEEE!! NI NOMA
Mnahesabu lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara.
Yanga ilipata ushindi wa...
MABOSI SIMBA WATUA NYUMBANI KWA KINA PACOME…MIPANGO YATEKELEZWA KIMYA KIMYA
Kama ulishtuka kusikia bosi wa Yanga, Hersi Said yupo jijini Lubumbashi nchini DR Congo akifuata mashine mpya, basi sikia na hii namna ambavyo vigogo...
SIMBA YAPELEKA KILIO HIKI YANGA…KUMSAJILI BEKI HUYU KISIKI…ISHU NZIMA HII HAPA A-Z
Uwezekano wa aliekuwa mlinzi wa Yanga, Djuma Shaban Kujiunga na Simba SC ni Mkubwa,
Mlinzi huyo wa kulia wa zamani wa klabu ya Yanga ameingia...
CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…HII HAPA LIST KAMILI YA WACHEZAJI WANAOLIPWA ZAIDI LIGI KUU...
CHAMA AMBURUZA AZIZ KI...Hii ni orodha wacheza wa Ligi Kuu ya NBC wanaovuta mkwanja mrefu zaidi.
10. Feisal Salum 16M -Azam FC
09. Fabrice Ngoma 18M...
VITA YA FEI TOTO NA AZIZ KI YAPAMBA MOTO…KOCHA AZAM AVUNJA UKIMYA
Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya...
HENOCK INONGA KUINOA SIMBA…AWACHANA MABEKI MABEKI…ISHU NZIMA HII HAPA
Licha ya uwepo wa kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman Matola, beki Mkongomani wa Simba, Henock Inonga ambaye alikuwa kati ya wachezaji wa...
KOCHA TP MAZEMBE, WYDAD WATAJWA KUTUA SIMBA….SIKU YA KUTANGAZWA HII HAPA…
Baada ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, Uongozi wa Simba SC kwa haraka umeanza mchakato wa kutafuta Kocha Mkuu mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo...
WAKATI ISHU YA MO DEWJI NA SIMBA IKIWA BADO MBICHI…GSM NA YANGA MAMBO NI...
Rais wa Young Africans SC, Eng. Hersi Said, amewatuliza mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kuwaambia kwamba, mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa...