MANE ASHAURIWA KUONDOKA LIVERPOOL
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Leicester City, Diomansy Kamara amemshauri nyota wa Liverpool, Sadio Mane kusepa ndani ya klabu hiyo ili kupata changamoto...
KARIA AITAJA SERIKALI KUHUSU HATMA YA LIGI KUU
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuendelea kwa Ligi Kuu na ligi nyingine kutategemea maelekezo ya Serikali kuhusu usalama na...
KUMBE ILE SARE YA MABAO 3-3 YA YANGA NA SIMBA, SIMBA WALILIA DAKIKA 15
BEKI wa Polisi Tanzania, Luccian William, 'Gallas' ambaye aliwahi kukipiga ndani ya Klabu ya Simba amefichua kuwa kwenye mechi waliyopindua mabao 3-3 mbele ya...
HUYU HAPA KIUNGO MPYA WA SIMBA KUTOKA CONGO..ANAKIPIGA AS VITA
SIMBA wameanza harakati za kumnasa kiungo nyota wa AS Vita Club ya DR Congo, Mukoko Tonombe, gazeti la Mwanaspoti limebaini.Hata kocha wa Vita, Florent...
KUHUSU KIWANGO CHAKE KUSHUKA..KICHUYA AMEFUNGUKA HAYA..!!
WINGA wa Simba, Shiza Kichuya alisajiliwa na timu hiyo wakati wa usajili wa dirisha dogo na mpaka sasa amecheza michezo miwili dhidi ya JKT...
ALIYEZITESA SIMBA NA YANGA KWA SASA ANAPATA TABU KWELI
KASSIM Khamis, kiungo anayekipiga Azam FC anapitia wakati mgumu kwa sasa ndani ya klabu yake mpya hiyo.Simba na Yanga zilikuwa kwenye mvutano mkubwa wa...
HUYU NDIYE AJIBU WA SIMBA TOFAUTI YAKE NA YULE WA YANGA
Ibrahim Ajibu, kiungo huyu mshambuliaji wa Simba alikuwa na wakati mzuri alipokuwa ndani ya Yanga msimu wa 2018/19 tofauti yake na yule wa Yanga...
KIONGOZI SIMBA ALIPATA TABU SANA NA BAO LA MORRISON ALILITAZAMA KWENYE WHATSAPP
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amefunguka kuwa bao ambalo walifungwa na Yanga kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo Machi 8, aliliangalia kwenye Makundi...
GSM NA YANGA SASA WAJA NA STAILI MPYA YA USAJILI
WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wamerejea kivingine klabuni hapo na safari hii wamekuja na staili mpya ya usajili kwa wachezaji wa kimataifa ambayo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi