OFISA HABARI WA SIMBA ATINGA MAKAO MAKUU YA YANGA, HIKI HAPA AMESEMA

0
ANAANDIKA Haji Manara,kupitia ukurasa wake wa Instagram Ofisa Habari wa Simba:-Heri neno kavu na utulivu kuliko karamu ya Mfalme na machafuko ‘Bible’."Nilikwenda mwenyewe mchana...

KIONGOZI MPYA WA AZAM FC HUYU HAPA, ARITHI MIKOBA YA MAGANGA

0
UONGOZI wa Azam FC unayofuraha kumtangaza mwandishi mkongwe, Thabith Zakaria 'Zaka Za Kazi', kuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano.Zakaria anachukua nafasi iliyoachwa...

VPL: YANGA 0-0 MBAO FC

0
Yanga 0-0 Mbao FCUwanja wa TaifaKipindi cha KwanzaYanga leo imeikaribisha Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.Mashabiki wamejitokeza kwa wingi...

KIKOSI CHA MBAO KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA UWANJA WA TAIFA

0
KIKOSI cha Mbao kitakachoanza leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Yanga mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBAO FC

0
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Taifa

STAA WA SIMBA ATANGULIA MBELE ZA HAKI, SIMBA YAMLILIA

0
DAMIAN Mrisho Kimti aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Simba amefariki dunia Jana jioni, Machi 2.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba imeeleza...

KUBETI KWAMPONZA STURRIDGE, FA, FA ZAMFUNGIA, KLABU YAKE YAMTEMA

0
Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imemtema mshambuliaji wake, Daniel Sturridge.Sturridge ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Liverpool, ametemwa baada ya kubainika ndugu...

MBAO KWENYE MTIHANI MBELE YA YANGA LEO TAIFA

0
MBAO iliyo chini ya Kocha Mkuu, Abdulmutik Hajji leo ina kazi nzito mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa...

KADI YA NJANO ALIYOPEWA ,MATTEO WA ARSENAL YAZUA BALAA HUKO, MASHABIKI WAMVAA REFA

0
KADI ya njano aliyoonyeshwa mchezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi na refa Mike Dean imezua balaa kwa mashabiki wakidai kwamba ni kadi ya ajabu kutokea.Guendouzi...

AZAM FC YATHIBITISHA KUACHANA NA CHECHE NA MAGANGA, YAWATAKIA KILA LA KHERI

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa watendaji wao Jaffary Idd Maganga 'mbunifu' na kocha msaidizi Idd Nassor Cheche ambao wamechimbishwa ndani ya kikosi hicho...