KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

0
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya KMC Uwanja wa Taifa saa 2:00 usiku

KOCHA WA SAMATTA AMPA KAZI NYINGINE YA KUFANYA, LEO KITAWAKA MBELE YA CITY

0
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa Aston Villa amesema kuwa ana imani na nyota wake mpya Mbwana Samatta atakuwa msaada kwenye kikosi hicho.Leo Samatta ana...

KMC KWENYE KIBARUA KIZITO CHA KUFUTA UTEJA MBELE YA SIMBA, REKODI ZINAIBEBA SIMBA

0
SVEN Vandenbroeck,Kocha Mkuu wa Simba leo, Machi Mosi atakiongoza kikosi chake Uwanja wa Taifa dhidi ya KMC iliyo chini ya Harerimana Haruna.KMC iliyopanda daraja...

JESHI LA TIMU YA TAIFA YA U 17 LITAKALOANZA DHIDI YA UGANDA LEO TAIFA

0
HILI hapa jeshi la timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 litakaloanza dhidi ya Uganda leo Uwanja wa Taifa.

KOCHA WA KMC KUVAA SIMBA NA HOFU KUBWA YA KIBARUA CHAKE

0
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa KMC leo anaingia uwanjani na kikosi chake akiwa na hofu tupu juu ya kibarua chake ndani ya timu hiyo.KMC...

MASHABIKI WAITWA KUICHEKI U 17 BURE KABISA

0
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 amesema kuwa kikosi kipo tayari kuwavaa Uganda hivyo mashabiki wajitokezekwa...

LICHA YA WATFORD KUTIBUA REKODI ILA LIVERPOOL BADO WAMO

0
IMEISHA rekodi ya timu ya Liverpool kuendelea kucheza mechi zake za Ligi Kuu England bila kufungwa baada ya jana, Februari 29 Watford kuitungua kwa...

MKALI WA PASI ZA MWISHO SASA YUPO FITI, KUIVAA KMC MAMBO YAKIWA NAMNA HII

0
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba anatarajia kuanza kuonyesha makeke yake leo Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara iwapo Kocha Mkuu Sven...

SIMBA KUIFUATA KMC KWA TAHADHARI HII LEO

0
SVEN Vandnbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema ataingia kwa tahadhari kubwa kuivaa KMC kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara.Simba itaingia uwanjani...

NAMUNGO: BADO KAZI NI NGUMU, WACHEZAJI WANAPAMBANA

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa bado wana kazi kubwa ya kulinda uwezo wao na kiwango chao kwa sasa kutokana na ushindani...