MASTAA HAWA 9 WATEMWA SIMBA…MASHINE HII HATARI KUTUA MSIMBAZI
Klabu ya Simba Sc itaachana na nyota tisa mwishoni mwa msimu huu akiwemo kipa mmoja, mabeki wawili, viungo wawili, mawinga wawili na washambuliaji wawili.
Imeelezwa...
YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO HUYU HATARI…ISHU NZIMA HII HAPA
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2.
Viongozi wa klabu...
MZIGO WA KUTOSHA UPO KWENYE ODDS HIZI NDANI YA MERIDIANBET LEO…
Wikiendi hii sehemu pekee ya kupiga mkwanja ni pale kwa mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet ambapo michezo mbalimbali barani ulaya itakwenda kupigwa.
Kama ilivyo...
YANGA YATUMIA MFUMO WA HISPANIA…AISEE!! KUMBE WALISAINI MKATABA HUU
Kuhusu yanga Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia TV3, Boiboi Mkali amesema kuwa wanachokifanya Klabu ya Yanga ni 'copy and paste' ya miamba...
“AZIZ KI AMTEKETEZA CHAMA” MCHAMBUZI…AMEFUNGUKA HAYA A-Z
Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini, Juma Ayo amesema bila Yanga kumsajili kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki basi mpaka sasa Watanzania wangeamini kiungo bora...
KUMBE HUYU KOCHA NDIYO ALIYEMTOA BACCA…DUUH ALISEMWA VIBAYA
Wakati kocha Hemed Suleiman Morocco anatangaza kikosi cha Zanzibar Heroes mwaka 2017 ambacho kinaenda kushiriki mashindano ya CECAFA Senior Challenge pale nchini kenya kwenye...
ZAHERA AFUNGUKA SAKATA LA USAJILI WA MCHEZAJI HUYU YANGA…DIARRA HALI TETE
Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya 'cleansheet' kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye...
GAMONDI AFANYA KOSA HILI…MASHUJAA KUKUMBANA NA HILI…ISHU NZIMA HII HAPA
Kikosi cha timu ya Young Africans SC chenye wachezaji 20 na viongozi 11 wa benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu,
Miguel Gamondi, kesho Jumamosi...
WAKATI IBENGE AIKINUKIA SIMBA….MASTAA HAWA 9 KUPIGWA PANGA MSIMU UKIISHA…
KLABU ya Simba itaachana na nyota tisa mwishoni mwa msimu huu akiwemo kipa mmoja, mabeki wawili, viungo wawili, mawinga wawili na washambuliaji wawili.
Imeelezwa kuwa...
CHEZA PROMO YA NON STOP DROP KUPATA TSH MIL 450/=|SHIRIKI KWA KUCHEZA KASINO…
Jiunge na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa na Meridianbet Jiandae kwa sherehe ya zawadi za mamilioni ya pesa zisizoweza kufikirika.
Promosheni hii ya...