DAVID DE GEA KUPIGWA CHINI NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
DAVID De Gea mlinda mlango wa Manchester United huenda akauzwa ili kuiongezea timu yake mkwanja wa kufanyia usajili msimu huu.De Gea mwenye miaka 29...

TAIFA STARS KAZINI MACHI 27, WAANGOLA NDIO MAPILATO

0
MACHI 27, timu ya Taifa ya Tanzania itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Taifa ya Tunisia utakaochezwa Uwanja wa Stade Olympique de...

MSIMAMO WA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA

0
MSIMAMO wa Ligi ya Wanawake Tanzania baada ya kucheza mechi 10 upo namna hii

SIMBA: HAKUNA MUDA WA KUPUMZIKA, KAZI JUU YA KAZI

0
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa mapambano lazima yaendelee kwani hakuna muda wa kupumzika kwenye maisha ya soka.Michael alipewa nafasi ya...

YANGA: GWAMBINA WANARUDI MWANZA KUCHEZA NGOMA

0
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kutinga kwao hatua ya robo fainali mbele ya Gwambina kunawapa muda wapinzani wao kurejea Mwanza kuendelea...

AUBAMEYANG AKOSA FURAHA KISA KUKOSA KUTINGA HATUA YA 16 BORA EUROPA

0
PIERRE -Emerick Aubameyang amesema kuwa amekosa furaha kwa timu yake kushindwa kupenya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa kwa kufungwa mabao 2-1...

HAJJI APEWA MIKOBA YA KUINUSURU MBAO KUSHUKA DARAJA

0
ABDULMUTIK Hajji amepewa mikoba ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Mbao FC ya Mwanza.Awali Hajji alikuwa Kocha Msaidizi ndani ya kikosi hicho na...

HAO YANGA WANABALAA WAMCHAPA MTU NANE

0
LIGI Kuu ya Wanawake inazidi kuchanja mbunga ambapo kwa sasa ipo raudi ya 10.Jana Februari 27, 2020 raundi ya 10 Ligi ya Wanawake iliendelea...

BAADA YA KUMALIZANA NA IHEFU MACHO YA AZAM FC YAPO HUKU

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kumalizana na Ihefu sasa akili zao ni kwenye mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tazania.Azam FC...