BONGO WACHEZAJI WENGI NI WAJANJAJANJA ILA KWA HILI WATAKUWA WANAJIPOTEZA WENYEWE

0
 HAKUNA anayejua kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea lini kwa msimu huu wa 2019/20 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona.Hii inatoa nafasi...

AZAM FC DARASA KWA WENGINE NDANI YA ARDHI YA BONGO

0
AZAM FC ni miongoni mwa timu ambazo zinazidi kufukuzia mafanikio ambayo zinayafikiria kila siku iitwapo leo jambo ambalo linazidi kufungua njia kwa wengi kujifunza...

KUHUSU MOLINGA KUTAKIWA NA WAARABU..LUC EYMAEL AMEFUNGUKA HIVI..!!

0
NAELEZWA kuwa Klabu ya ES Setif inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria imeweka ofa mezani kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, David Molinga...

GSM WAZIDI KUSHUSHA NEEMA YANGA..WASAINI MKATABA MPYA UTAKAOWAPA YANGA MABILIONI

0
YANGAkumenoga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema baada ya timu hiyo kuingia makubaliano mengine na mdhamini wake Kampuni ya GSM ya kusaini mkataba mpya mwingine kwa...

WAKATI HUU WA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA WACHEZAJI MSISAHAU KULINDA VIPAJI VYENU PIA

0
LIGI kuu Bara na Ligi nyingine kubwakubwa zile duniani zote kwa sasa zimesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia kwa...

KUHUSU KUTUA SIMBA..MENEJA WA MWANYETO AMEFUNGUKA HAYA..!!

0
WAKALA Kassa  Mussa ambaye anamuwakilisha beki kisiki anayekipiga kwenye timu ya Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto amekanusha uvumi unaoendelea kuhusu mchezaji wake kuhusishwa na...

KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari...

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KUTOELEWANA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI

0
SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema haikuwa rahisi kufanya kazi na benchi la ufundi kutokana na kutozeana.Sven alipoanza kazi ililipotiwa kuwa hakuwa na...

YANGA YAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA KUBORESHA KIKOSI CHAO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unahitaji kusuka kikosi upya kitakacholeta ushindani kitaifa na kimataifa kwa kushusha nyota wengi wakali na wenye ujuzi.Akizungumza na Saleh...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili