COASTAL UNION YAWAOMBA RADHI MASHABIKI, HUYU HAPA CHANZO CHA KUPOTEZA MBELE YA RUVU SHOOTING

0
SUDY Dondola, mlinda mlango namba moja wa Coastal Union amesema kuwa kupoteza pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani chanzo alikuwa yeye...

MTIBWA SUGAR WAIBUKIA HUKU BAADA YA POINTI MOJA

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kilichoifanya timu yake kushindwa kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons ni ubovu wa Uwanja wa...

AZAM FC: MAPAMBANO BADO YANAENDELEA, AKILI ZETU SASA NAMUNGO

0
AGREY Morris, nahodha wa Azam FC amesema kuwa kushindwa kupata ushindi mbele ya Ndanda sio mwisho wa mapambano kwani bado wana mechi mkononi.Azam FC...

MADUDU YA LIGI DARAJA LA KWANZA YASIFUMBIWE MACHO, MFUMO WA PLAYOFF UBORESHWE

0
LIGI daraja la Kwanza inazidi kumeguka taratibu na ushindani wake unazidi kushika kasi kila iitwapo leo kwa timu shiriki kuonyesha kile wanachokihitaji.Tunaona kwamba kila...

WALE WENYE TABIA ZA WAWA NA MORRISON TUWAKEMEE KWENYE LIGI ZOTE, HATUA ZICHUKULIWE

0
JANUARI 4,2020 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa kwa wapinzani wa jadi Yanga na Simba mzunguko wa kwanza uliacha matukio mengi tata ambayo...

MOURINHO AKIMBILIA KIVULI CHA MAJERUHI KISA KICHAPO CHA BAO 1-0

0
BAO la Timo Werner wa RB Leipzig kwa mkwaju wa penalti dakika ya 58 mbele ya Tottenham Hotspurs lilitosha kuilaza na kiporo hicho timu...

LIGI DARAJA LA KWANZA TUSIIFUMBIE MACHO KWANI HUKU MAMBO BADO

0
MECHI saba kwa sasa ndizo ambazo zimebaki kwa timu zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kumaliza ile ngwe ya kumtafuta mbabe wao atakayepanda Daraja na...

ALLIANCE WAIVURUGA MWADUI FC, WALIPA KISASI CHA AZAM FC

0
DAVID Richard mshambuliaji wa Alliance jana alisepa na mpira wake mbele ya Mwadui FC Uwanja wa Nyamagana kwnye ushindi wa mabao 4-1 na kulipa...

IGHALO ASHINDWE YEYE TU SASA UNITED, AANDALIWA DILI

0
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa atamuongezea msimu mmoja Odion Ighalo raia wa Nigeria iwapo ataonyesha ubora.Nyota huyo amesajiliwa na...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi