PACHA YA NCHIMBI NA MOLINGA ILIVYOIBUA MAKUBWA YANGA

0
Mastraika wawili wa Yanga, David Molinga ‘Falcao’ na Ditrim Nchimbi pacha yao ni kama imeanza kukubali baada ya kila mmoja kumjua mwenzake wakiwa uwanjani,...

SIMBA WAELEZA JUU YA UJIO WA FLORENT IBENGE, BOSI AFUNGUKA

0
Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa ameweka bayana kwamba kocha wao mkuu, Sven Vanderboeck ataendelea kubakia katika nafasi yake japokuwa wamekuwa wakihusishwa na kumtaka...

PAUL POGBA KUIWAHI MANCHESTER CITY

0
KIUNGO machachari wa timu ya Manchester United, Paul Pogba ana matumaini ya kurejea uwanjani baada ya wiki mbili na inatajwa kuwa atawawahi wapinzani wake...

LUC EYMAEL AKIAMSHA TENA, AWALALAMIKIA MBEYA CITY

0
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa sababu iliyopeleka kushindwa kupata pointi tatu dhidi ya Mbeya City ni kutokana na aina ya mchezo waliocheza...

HIVI NDIVYO MKAZI WA MBEYA ALIVYOSHINDA ZAIDI YA MILIONI 125 ZA PREMIER BET

0
KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Tanzania imemtangaza mkamalia mmoja mjanja ambaye ameshinda zaidi ya milioni 125 kwenye mkeka wake wikiendi hii. Mteja...

KOBE BYRANT AZIKWA KWA SIRI

0
VYOMBO mbalimbali vya habari nchini Marekani vimethibitisha kuwa Mchezaji maarufu wa Mpira wa Kikapu, Kobe Byrant (41) na mwanaye, Gianna Maria-Onore Bryant ‘Gigi’ (13)...

JOHN BOCCO BALAA LAKE MBELE YA MTIBWA LILIKUWA NAMNA HII

0
JOHN Bocco nahodha wa timu ya Simba jana amekiongoza kikosi chake kulipa kisasi cha kuchapwa bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa...