AZAM FC KUANZA KULISHUGHULIKIA TATIZO HILI MAPEMA NDANI YA TIMU YAO
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanyia marekebisho safu ya ushambuliaji ambayo imekuwa na shida kwenye umaliziaji.Akizungumza...
NAHODHA NAMUNGO ATAJA KINACHOMPA HALI YA KUJIAMINI AKIWA UWANJANI
NAHODHA wa timu ya Namungo, Relliats Lusajo amesema kuwa anatumia muda mwingi kujifunza kwa wachezaji wa kigeni na ndani jambo linalompa hali ya kujiamini.Akizungumza...
KUMEKUCHA HUKO JANGWANI, FUNGU LA KUTOSHA LAWEKWA MEZANI KUIMALIZA SIMBA
KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa, Machi 8, Uwanja wa Taifa tayari mkwanja umewekwa mezani ili Yanga imalize mchezo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
JOTO LA MECHI YA YANGA V SIMBA ISIWE CHANZO CHA KUBORONGA, VIINGILIO VIWE RAFIKI
JOTO la mchezo wa watani wa jadi katika ngwe hii ya lala salama unaotarajiwa kupigwa Machi 8, limewahi sana tofauti na mchezo wa raundi...
MKAKATI MKUBWA WA AZAM FC KUINYOOSHA SIMBA JUMATANO UMEJIFICHA KWA HAWA
UONGOZI wa Azam FC umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Taifa, Jumatano ya Machi 4 kuipa sapoti timu hiyo itakapomenyana na Simba...
KMC: HATUKUPANGA KUAMBULIA POINTI MOJA TULITAKA POINTI TATU
SADALA Lipangile, nahodha wa KMC amesema kuwa hawakuhitaji kupoteza mchezo wao mbele ya Simba kutokana na nafasi waliyopo kwenye ligi ila walizidiwa mbinu na...
SAMATTA AWEKA REKODI MOJA MATATA SANA, KAMTUNGUA GUARDIOLA HANA HAMU NAYE
MBWANA Samatta, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England leo ameweka rekodi mpya kwa kufunga bao katika mechi ya...
MANCHESTER CITY YABEBA UBINGWA WA CARABAO MBELE YA SAMATTA
ASTON Villa timu anayokipiga Mbwana Samatta, jana Machi Mosi imeshuhudia ubingwa ukisepa jumla mpaka mikononi mwa wapinzani wao Manchester City.Villa iliyo chini ya Dean...