YANGA YAKUTANA NA RUNGU HILI KUTOKA TFF
TIMU ya Yanga imetozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu yawachezaji wao kwenye Pre match meeting ya...
COASTAL UNION YAIPIGA MKWARA YANGA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake wapo sawa na watapambana leo mbele ya Yanga kusepa na pointi...
MIRAJ ATHUMAN WA SIMBA HIKI NDICHO ANACHOKIFIKIRIA
MIRAJ Athuman, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa anachokifikiria ni kurejea ndani ya Uwanja kuendelea kupambana kwa ajili ya timu yake.Miraj amekuwa nje kwa...
SPURS YACHAPWA NJE NDANI NA CHELSEA
OLIVER Giroud na Marcos Alonso leo wamepeleka furaha ndani ya kikosi cha Chelsea baada ya kuichapa mabao 2-1 timu ya Tottenham iliyo chini ya...
JIANGSU SUNING INAHAHA KUIPATA SAINI YA BALE ILI KUMPELEKA CHINA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Real Madrid wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la nyota wao Gareth Bale ili akajiunge na timu moja ya...
AZAM FC YAKUTANA NA RUNGU LA TFF, MILIONI MOJA YAMEGUKA
KLABU ya Azam FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuchelewa kutoka uwanjani hata Kamishna alipowaita walikaidi amri...
BREAKING:KIWIKO CHAMPELEKA MORRISON KAMATI YA NIDHAMU
KIUNGO Mshambuliaji Bernard Morrison anayekipiga ndani ya Yanga amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga...
KIKOSI CHA AZAM FC LEO KITAKACHOANZA DHIDI YA NAMUNGO
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa
MBWANA SAMATTA KAZINI TENA LEO ENGLAND
MBWANA Samatta mshambuliaji wa Aston Villa, Mtanzania anatarajia kukiongoza kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Southampton Uwanja wa St Mary's.Villa...
YANGA YAWAITA MASHABIKI WAKE KUIPA SAPOTI MKWAKWANI
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kesho Mkwakwani kuipa sapoti timu yao.Yanga itamenyana na Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi...