HAJJI APEWA MIKOBA YA KUINUSURU MBAO KUSHUKA DARAJA
ABDULMUTIK Hajji amepewa mikoba ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Mbao FC ya Mwanza.Awali Hajji alikuwa Kocha Msaidizi ndani ya kikosi hicho na...
HAO YANGA WANABALAA WAMCHAPA MTU NANE
LIGI Kuu ya Wanawake inazidi kuchanja mbunga ambapo kwa sasa ipo raudi ya 10.Jana Februari 27, 2020 raundi ya 10 Ligi ya Wanawake iliendelea...
BAADA YA KUMALIZANA NA IHEFU MACHO YA AZAM FC YAPO HUKU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kumalizana na Ihefu sasa akili zao ni kwenye mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tazania.Azam FC...
POGBA: SIPENDI KUONA LIVERPOOL IKITWAA UBINGWA, TULISTAHILI SISI KUUBEBA
PAUL Pogba kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa hapendi kuiona Liverpool ikitwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.Liverpool na Manchester United ni...
ISHU YA YANGA KUTWAA UBINGWA MBELE YA SIMBA IPO NAMNA HII
Hivi ndivyo Saleh Jembe anavyoichambua Yanga na mikakati yake ya kutwaa ubingwa:-Yanga bado haina mwendo mzuri maana iko katika nafasi ya nne baada ya...
YANGA PRESHA TUPU KWA SASA KISA MATOKEO MABOVU
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi kwa sasa bado kipo kwenye presha kubwa kutokana na matokeo ambayo wanayapata.Eyamel amekiongoza kikosi chake...
KICHUYA WA SIMBA AMCHAMBUA NAMNA HII LUIS
SHIZA Kichuya, kiungo ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa mchezaji mwenzake, Luis Miquissone ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira na kufanya maamuzi jambo...
ISHU YA WACHEZAJI WA YANGA KUCHIMBISHWA KWENYE VYUMBA VYAO IPO HIVI
ABDULAZIZ Makame, nyota wa timu ya Yanga amesema kuwa mashabiki wao wasifikirie kuwa wamefukuzwa kwenye pango lao walilokuwa wakikaa bali wamekwenda kuanza maisha mapya.Kauli...
KOCHA KMC MGUU NJE MGUU NDANI, HOFU YA KUPIGWA CHINI YATAWALA
HARERIMANA Haruna, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa anahofia kibarua chake kuota nyasi kutokana na mwenendo wa timu yake ulivyo ndani ya...
MKWASA AKABIDHIWA MIKOBA YANGA, NI NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa