TUACHANE NA UPUUZI WA MBONA, KAMA NI KOSA MORRISON, AADHIBIWE NA YANGA IANZE…

0
Na Saleh AllyKADIRI unavyokubali kujifunza ndivyo unazidi kuyajua mambo mbalimbali kuhusiana na vitu tofauti. Lakini kila unavyojidai au kujiona ni mjuaji, ndivyo mambo mengi...

ANKO MWAKYEMBE KAPISHANA NA DUA YETU YA KUTAKA MAPROO WOTE FIRST ELEVEN STARS

0
NA SALEH ALLYNDIO raha kwa kuwa kila mmoja anaweza kuwa huru kutoa maoni anayoona ni sahihi. Hii ndio raha ya Tanzania na hasa katika...

SIMBA YAGOMA KUPEWA SABABU ZA KUSHINDWA, YAZIPIGIA POINTI TATU ZA KAGERA

0
SIMBA kesho ina kazi mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa, Uongozi umesema kuwa hautaki sababu za...

YANGA YAOMBA SAPOTI KWA MASHABIKI, SABABU YA SARE NA PRISONS YATAJWA

0
UONGOZI wa Yanga umewataka mashabiki wao kutokata tamaa kwa timu yao kutokana na kulazimisha sare mbili kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara.Februari 11,...

AZAM FC:LIGI NGUMU KWELI

0
OBREY Chirwa, mshambuliaji namba moja ndani ya Azam FC amesema kuwa Ligi Kuu Bara ya msimu huu 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya nao wapambane...

SADIO MANE NI BALAA TUPU NDANI YA LIGI KUU ENGLAND

0
SADIO Mane, nyota wa timu ya Liverpool amefikisha jumla ya mabao 100 ndani ya Ligi Kuu ya England.Mane alifikisha bao hilo kwenye mechi dhidi...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu

AUBAMEYANG AWASABABISHIA BALAA HILI NEWCASTEL IKIKUBALI KULALA NA 4G

0
PIERRE-Emerick Aubameyang nahodha wa Arsenal alifungua pazia la kutupia mbele ya Newcastel United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati wakiibuka na ushindi wa...

AZAM FC BADO WAMO, LICHA YA KUCHAPWA NJE NDANI NA COASTAL UNION

0
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa bado wanapambana kwa ajili ya mechi zinazofuata kwenye ligi ili kuongeza kasi yao baada ya...

YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

0
BAADA ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons jana, Februari 15 Uwanja wa Taifa Yanga imeiwahi Polisi Tanzania ya Moshi kwa ajili...