MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA,JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA, JUMAPILI
MAMA KABWILI APATWA NA PRESHA, APELEKWA HOSPITALI – VIDEO
KIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake mzazi presha kushuka kabla...
SIMBA YAZIDI KUMVAA KABWILI, TAMKO JINGINE LATOLEWA
UONGOZI wa Klabu ya Simba umeendelea kumng’ang’ania kipa wa Yanga, Ramadhani Kabwili kutaka kuthibitisha kauli yake ya kudaiwa kutaka kuhongwa gari aina ya IST.Kabwili...
MCHOMVU AMFUNGUKIA DIAMOND, AMGUSIA ALIKIBA
MTANGAZAJI wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm na Mwanamuziki, Adam Mchomvu, jana amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global...
MAREKANI YASEMA VIRUSI VYA CORONA NI FURSA KWAO
KATIBU wa masuala ya kibiashara nchini Marekani, Wilbur Ross, amesema mlipuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua uchumi wa Marekani na...
KISA SAMATTA, SERIKALI YATOA AGIZO KWA WACHEZAJI
WABUNGE wameitaka serikali kuwekeza katika michezo ili kuwapata wachezaji wengine wazuri kama nahodha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta ambaye hivi karibuni...
KOCHA MATATA YANGA AANIKA KINACHOMUUMIZA KICHWA
MOJA ya kitu kinachomuumiza kichwa Kocha wa Yanga, Luc Eymael ni namna ya kutengeneza kikosi bora chenye ushindani kitakachopata matokeo kwa kila mechi.Akizungumza Dar...
MBICHWA WA SAMATTA WAFANYA YAKE KWA MARA YA KWANZA NDANI YA EPL, LICHA YA...
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka ardhi ya Bongo kufunga bao ndani ya...