KOCHA SIMBA AMCHAGUA MCHEZAJI WAKE BORA KATI YA MO HUSSEIN NA GADIEL MICHAEL

0
Kocha wa zamani na mchezaji aliyekipiga Simba Sports Club, Abdallah King Kibadeni, amemchagua Mohammed Hussein kuwa beki wake namba mbili bora dhidi ya Gadiel...

BAADA YA SAMATA KUTUA ASTON VILLA, MTANZANIA MWINGINE ARITHI NAFASI YAKE GENK

0
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, anajiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania,...

SERIKALI YAAMUA KUTOA TAMKO JUU YA SAMATTA KUTUA ASTON VILLA – VIDEO

0
Baada ya kusani mkataba wa miaka minne na nusu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana Januari 21, 2020, amemwasa mcheza...

KAKOLANYA ALAMBA SHAVU SIMBA

2
KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameonekana kuvutiwa zaidi na kiwango cha kipa Beno Kakolanya, hiyo ni baada ya kumpa shavu kipa huyo kuanza...

HAWA NDIO MAKIPA KIBOKO YA MEDDIE KAGERE, WALICHOMFANYA SIO POA

0
MEDDIE Kagere, mshambuliajI wa Simba, anateswa na mikono ya mlinda mlango wa KMC, Jonathan Nahimana na Razack Abarola kutokana na kuziokoa kiulaini penalti alizowapigia.Msimu...

NENO LA SAMATTA KWA WATANZANIA HILI HAPA, MBAYA KWELI KWENYE NYAVU

0
MBWANA Samatta, nyota mpya wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England amesema kuwa kwa hatua aliyofikia ni suala la kushukuru Mungu huku akiahidi kuendelea...

SVEN APINDUA UFALME WA MANULA, SASA KAKOLANYA ANAPETA KINOMA

0
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameonekana kumpa shavu kipa namba mbili Beno Kakolanya huyo kuanza katika michezo sita kati ya michezo kumi ambayo...

MATOKEO MABAYA YAISIKITISHA YANGA, UJUMBE HUU WATUMWA SINGIDA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umesikitishwa na matokeo ya mechi zake mbili zilizopita na kuomba sapoti kwa mashabiki wao.Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu,...

SINGIDA UNITED BANA, YAITANGAZIA HATARI YANGA

0
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wao wa kesho, Januari 22 dhidi ya...

JESHI LA AZAM FC LAKWEA PIPA KUIFUATA MWADUI FC

0
TIMU ya Azam FC iliyo chini ya Arstica Cioaba, leo imekwea pipa kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya...