KAKOLANYA ATOA TAMKO JUU YA NAFASI YAKE SIMBA
Golikipa wa Azam FC, Razak Abalora amesema anaamini siku zote kuwa yeye ni mshindi licha ya kukosa penalti ya mwisho kwenye mchezo wa juzi,...
MTAMBO MPYA YANGA SASA UPO FITI
STRAIKA mpya wa Yanga, Tariq Seif, yupo fiti baada ya kupona majeraha ya nyama za paja yaliyomfanya akae nje kwa siku kadhaa.Tariq aliyejiunga na...
U 17: TANZANIA 3-0 BURUNDI
Tanzania 3-0 BurundiGoool : Aisha Masaka dakika ya 7 na 10Goaal: Joyce Meshack dakika ya 33Mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya...
JESHI LA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE DHIDI YA BURUNDI UWANJA WA TAIFA
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake U17 kinachoanza kwenye mchezo dhidi ya Burundi.
HIKI NDICHO KINACHOITESA KAGERA SUGAR KWA SASA NDANI YA LIGI
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa matokeo wanayoyapata kwenye ligi yanatokana na ushindani kuwa mkubwa wanajipanga kwa sasa kurejea kwenye ubora...
MOGELLA, MFAUME, MAYAY WASHIRIKI UZINDUZI DUKA JIPYA LA MICHEZO LA ANTA
NA MWANDISHI WETUWAKONGWE wa soka nchini, Zamoyoni Mogella na Ally Mayay, Mwisho mwa wiki walizindua rasmi duka la kimataifa la vifaa vya michezo la...
MOURINHO: NADHANI WASIMAMIZI WA VAR WALIKUWA WANAKUNYWA CHAI WAKASAHAU MAJUKUMU YAO
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa hakuona msaada wa VAR kwenye mchezo wao dhidi ya Liverpool kwani kuna kadi nyekundu ya moja...
MBELGIJI WA YANGA AANZA NA MAJINA YA NYOTA HAWA WANNE NDANI YA YANGA, AZUNGUMZIA...
LUC Eymael, Kocha Mkuu mpya wa Yanga ambaye yupo Bongo kwa sasa akikamilisha taratibu za awali ameyataka majina ya wachezaji wanne wa Yanga ili...