YANGA BHANA, KAMA MLIVYOSIKIA!! SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
PONGEZI ZA DHATI KWA WACHEZAJI SIMBA ZATOLEWA
Kocha Mkuu wa timu ya Simba SC, Sven Vanderbroeck amewapongeza wachezaji wake baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo...
NAMNA SIMBA WATAKAVYONUFAIKA NA PESA SAMATTA ASTON VILLA, RAGE AFUNGUKA
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, amesema alisaini mkataba na TP Mazembe ambao unaiwezesha Simba kupata asilimia 20 ya pesa...
HAJI MANARA AMVAA TENA NUGAZ WA YANGA
Mvutano wa maneno unaendelea kati ya Afisa Habari wa Simba, Haji Manara na Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga, Antonio Nugaz huku kila mmoja...
JEMBE JIPYA YANGA LANIKA AHADI KUBWA BAADA YA KUTUA BONGO
Mshambuliaji raia wa Ghana Bernard Morrison, rasmi juzi alitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wa jijini Dar es Salaam...
MOURINHO AMUAGA MMOJA TOTTENHAM
KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, amesema kuwa kiungo wake, Christian Eriksen aondoke akiwa nafuraha. Mara kwa mara kiungo huyo amekuwa akitajwa kuwa anataka...
KOCHA YANGA AGEUKA MBOGO KWA WACHEZAJI
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amewacharukiwa wachezaji wa kikosi hicho baada ya kushindwa kutumia nafasi walizotengeneza kupata mabao ya haraka ambayo yangewatoa mchezoni wapinzani...
YANGA YACHANA MKEKA TENA UWANJA WA TAIFA, YAPIGWA BAO 1-0
LUCY Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo ameiongoza timu yake kupoteza kwenye mechi yake ya pili kwa kufungwa bao 1-0 na Azam FC, Uwanja...
LIGI KUU BARA: AZAM FC 1-0 YANGA
Dakika ya 60 Chirwa anachezewa rafuDakika ya 56 Ditram Nchimbi anaingia kuchukua nafasi ya Patrick SibomanaDakika ya 54 Mahundi anapeleka mashambulizi kwa ShikaloDakika ya...