TSHISHIMBI AONDOKA YANGA

0
Inaelezwa kuwa kuwa kiungo wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi ametimkia  kwao Congo kuangalia familia yake.Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael, alisema Papy...

KAGERA SUGAR YAMUIBUA HAJI MANARA KWA FUJO, ATOA TAMKO ZITO JUU YA YANGA

0
Baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara jana, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara,...

SERIKALI YAHOJI KUHUSIANA NA BILIONI NNE ZA MO DEWJI

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba, amehoji juu ya matumizi ya Sh. bilioni 4...

KIMENUKA!! MCHEZAJI YANGA AAMUA KUKIWASHA, AMKATAA KOCHA MPYA

0
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa jana kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es...

MAN UNITED YAIPIGA CHINI BARCELONA

0
Miamba ya soka ya Premier League, Manchester United imeendelea kuwa kileleni kwenye maswala uingizaji wa mapato ngazi ya klabu England.United imezidi kuwa moto wa...

ISHU YA MADAWA YA KULEVYA, HARMONIZE APEWA ONYO

0
ONYO! Kama mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ atakuwa ameanza mchezo mbaya wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, basi mashabiki...

KOCHA MPYA YANGA AANIKA MIFUMO MITATU YA KIBABE

0
Akiwa na siku nane tangu akabidhiwe mikoba ya kuinoa Yanga, Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji amesema kwamba atatumia mifumo...

KAGERE ALETA HOFU SIMBA, STRAIKA MPYA KUTANGAZWA

0
Wakihesabu saa kabla ya usajili wa dirisha dogo kufungwa hapo jana, inaelezwa viongozi wa Simba wapo kwenye mipango kabambe ya kuhakikisha wanasajili straika mwingine...

YANGA WAAMUA KUIIGA SIMBA, HIKI NDICHO WADHAMIRIA KUFANYA JUU YA CEO

0
Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O), mpya wa timu hiyo atakayeifanya kuwa ya kisasa ili kufikia...