SIMBA: TUTAKACHOFANYA SISI WAPINZANI WETU YANGA HAWAJAKIFANYA NA NI NOMA LEO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo hakuna namna yoyote jambo la kwanza ni mashabiki kujaza uwanja kisha burudani zitafuata.Haji Manara Ofisa Habari wa Simba...

AZAM FC: TUNAFANYIA KAZI MAPUNGUFU YETU KWA MICHUANO YA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa unafanyia kazi mapungufu ya kikosi hicho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Kenema ya...

SIMBA YAWAITA MASHABIKI WAKE UWANJA WA TAIFA LEO

0
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amewataka mashabiki wa kikosi hicho wajitokeze kwa wingi leo uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu hiyo itakapocheza mchezo wa...

MANCHESTER CITY: MSIMU UJAO KAZI ITAKUWA NGUMU ILA IMANI IPO

0
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City, amesema kuwa kwa sasa wameanza na mwanzo mzuri hasa baada ya kutwaa taji la ngao ya jamii.Manchester City...

KUMEKUCHA! YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO KWA SIMBA

0
UONGOZI wa Yanga umeamua kutupa dongo kimtindo kwa wapinzani wao Simba kuhusu ubora wa jezi zao.Kwa sasa vita kubwa iliyopo ni nani ana jezi...

JESHI KAMILI LA AS VITA, MZEE WA KUWAGA NA KUMIMINA MAJI NDANI

0
KIKOSI kamili cha timu ya AS Vita ya Congo kikiwa kamili na beki kipenzi cha Simba, mzee wa kumwaga na kupandisha maji, Zana Coulibary...

YANGA: TUNALIPA KISASI KWA TOWNSHIP ROLLERS AGOST 10

0
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa hivyo wataanza kazi na Township Rollers Agosti...

NALDO, CHIRWA, NGOMA WAIPASUA KICHWA AZAM FC

0
IDD Chehe, Kocha Msaidizi wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo ni pasua kichwa kwa sasa ndani ya kikosi hicho ni...

KWA ULAINIIII MASHINE ALAMBA MILIONI SITA ZA SPORTPESA

0
Mkazi wa Tabora, Nelson Misungwi Mashine akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya...

KUMEKUCHA, YANGA YACHARUKA, YAISHITAKI SELCOM KWA SERIKALI

0
Uongozi wa Yanga umeishtaki Kampuni ya Selcom Tanzania, serikalini kutokana na utendaji wao wa kazi mbaya ambao ulikuwa wa wizi na rushwa uliotokea kwenye...