HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE
ATHUMAN Bilal ndiye mrithi wa mikoba ya Malale Hamsin aliyekuwa anakinoa kikosi cha Alliance FC.Mwenyekti wa Kamati ya mashindano ya Alliance, Yusuph Budod amesema...
SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU
NYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kwa namna kikosi kilivyo na kambi ya Afrika Kusini ilivyonoga lazima watetee kombe lao na kuleta...
KCCA WAAMBIWA NA AZAM FC DAWA YAO ISHAPATIKANA KESHO WANAKALISHWA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wapinzani wao KCCA kesho wasahau kuwatungua tena kama walivyofanya kwenye mchezo wa awali tayari dawa yao wameshaipata.Mchezo wa...
MABINGWA WA AFRIKA ALGERIA WANATISHA KINOMA
ALGERIA mabingwa wapya wa Afrika wanatisha kwani licha ya wapinzani wao Senegal kutawala mchezo kwa kupiga jumla ya pasi 320 huku wao wakipiga jumla...
NAMUNGO FC, MTIBWA SUGAR, MBAO FC ZAINGIA ANGA ZA MWADUI FC
MUSSA Mbissa mlinda mlango wa Mwadui FC amesema kuwa ana ofa ya timu tatu mkononi mwake zikitaka kupata saini yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Mbissa...
YANGA: TUNASUKA KIKOSI MATATA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wamejipanga kufanya maajabu msimu ujao hivyo watatumia muda huu wa maandalizi kusuka kikosi imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Mratibu wa...
MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE
LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema...
AZAM FC YAFICHUA SIRI YA USHINDI MBELE YA WACONGO
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA
DEOGRATIUS Munish 'Dida' amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana...