GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATATU, VIKOSI VITATU SIMBA VYATAJWA
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu
YANGA KUMEKUCHA, KAMBI YA KISHUA YAANZIA DAR
Yanga jana Jumapili wameanza kambi ya msimu ujao ambapo tangu Ijumaa iliyopita mastaa wapya wa klabu hiyo wamekuwa wakiingia mmoja mmoja.Yanga wanaanza kambi mapema...
KAMBI YA SIMBA YATAJWA, MAJEMBE MAPYA YAORODHESHWA
Kama Spoti Xtra lilivyokujulisha Alhamisi iliyopita, sasa ni rasmi kwamba Simba itaweka kambi Afrika Kusini kuanzia Julai 15 na mastaa wote lazima watue Dar...
BRAZIL YATWAA COPA AMERICA BILA NEYMAR, YAITANDIKA PERU 3-1
Brazil imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Copa America kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Peru.Wafungaji ni Everton Soares 15', Gabriel Jesus 45+3'...
KAKOLANYA: SIMBA WENYEWE WATANIPENDA
BENO Kakolanya mlinda mlango mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kwamba hana mashaka na uwezo wake hivyo mashabiki watampenda.Kakolanya amesema...
AZAM FC WAANZA KWA USHINDI KAGAME
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji...
AIYEE AANZA NA MGUU WA KULIA KMC
SALIM Aiyee mshambuliaji mpya wa kikosi cha KMC ameanza kwa kucheka na nyavu baada ya kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza wa michuano...
HAJI MANARA APEWA JUKUMU JIPYA NDANI YA SIMBA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili...
LIONEL MESSI HANA IMANI NA WAANDAAJI WA COPA AMERICA
LIONEL Messi mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa hana imani na waandaaji wa michuano ya Copa America kwani wanawapendelea waandaaji ambao...