ZAHERA AJA NA MIKAKATI MIPYA KABAMBE YANGA, TIMU KUWEKA KAMBI MOROGORO
Wakati Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya kuhakikisha timu hiyo haifungwi...
DUH! BARCELONA WAMFUNGIA VIOO NEYMAR JUMLAJUMLA
JOSEP Bartomeu Rais wa Barcelona amesema kuwa klabu yake haina mpango wa kujaribu kupata saini ya kumpata mchezaji Neymar JR kwani Paris Saint Germain...
FUKUTO LA MO NDANI YA SIMBA LIMEFIKIA HAPA
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni...
WACHEZAJI YANGA WACHELEWESHA KUANZA KWA KAMBI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa wa kuweka kambi upo mikononi mwa wachezaji wa kigeni na ndani hivyo wakifika wote wataanza...
KOCHA SIMBA ATAJA KINACHOMFELISHA IBRAHIM AJIBU
KOCHA wa zamani wa kikosi cha Simba na Dodoma FC, Jamhuri Khiwelu 'Julio' amesema kuwa nyota mpya wa Simba, Ibrahim Ajbu ana uwezo na...
NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA NAMUNGO FC
MOHAMED Rashid mshambuliaji wa Simba inawezekana msimu ujao akakipiga kwenye klabu mpya ya Namungo.Rashid amekuwa hana nafasi kubwa ndani ya KMC baada a mabosi...
PRESHA YA MENEJA MPYA WA CHELSEA LAMPARD IPO NAMNA HII
MENEJA mpya wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa anatambua presha kubwa ya bosi wa kikosi hicho, Roman Abramovich hasa timu inaposhindwa kupata matokeo chanya.Lampard...
KMC YAPANIA KUFANYA KWELI RWANDA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa utaitumia michuano ya kombe la Kagame kwa ajili ya kujiaandaa na michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Akizungumza...
YANGA YAPINDUA MEZA USAJILI WA GADIEL
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amezungumzia mjadala wa usajili wa beki wa pembeni, Gadiel Michael na kutoa ruhusa ya mchezaji huyo...