SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI

0
ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba, msanii wa Bongo Fleva,...

KMC WATIA TIMU RWANDA, TAYARI KUIVAA TP MAZEMBE

0
KIKOSI cha Manispaa ya Kinondoni 'KMC' leo kimeripoti salama nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde...

WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR

0
WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba kikiwa bado hakijaanza mazoezi.Wachezaji...

LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA

0
FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.Lampard mwenye umri...

AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO

0
MABINGWA watetezi wa kombe  la Kagame Azam FC leo wameelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, ili kutetea taji lao.Michuano hiyo inatarajiwa...

MSHAHARA WA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA, SPOTI XTRA ALHAMISI LINA DATA KAMILI

0
MSHAHARA wa  Ibrahim Ajibu ni balaa, Spoti Xtra waunyaka mwanzo mwisho ni balaa

MO ATOA UJUMBE MZITO

0
MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji 'Mo' leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.Mo...

NINJA ALIPWA MSHAHARA WA BILIONI 2 MAREKANI, ATACHEZA NA ZLATAN LA GALAXY

0
IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa...

EXCLUSIVE: KAHATA RASMI ASAINI SIMBA, AKOMBA SH MIL. 80

0
RASMI kiungo mchezeshaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars na Klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata ni mali ya Simba baada ya...