MWANAFUNZI SEKONDARI AFANYA MTIHANI WA TAIFA AKIWA LEBA

0
ALMAZ  DERESE  (21), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Ethiopia amefanya mitihani (Kiingereza, Amharic na Hisabati) akiwa hospitali dakika 30 baada ya kujifungua, Juni...

HAKIKA YANGA YA MSIMU UJAO NI MOTO, ZAHERA AFUATA KIBOKO YA MANULA MISRI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesitisha usajili wa wachezaji wa kigeni na nafasi zilizobaki atachukua wa fainali za Afrika nchini Misri.Yanga hadi...

KOTEI BYEBYE SIMBA, KAIZER CHIEFS WATOA TAMKO JUU YAKE

0
Imeripotiwa kuwa miamba wa Afrika Kusini Kaizer Chiefs wapo kwenye mipango ya kumsajili kiungo wa Simba James Kotei ambaye ni raia wa Ghana.Kwa mujibu...

OKWI, NIYONZIMA CHUPUCHUPU SIMBA

0
SIMBA imebadili gia angani baada ya kuachana na uamuzi wao wa kuwapiga chini Haruna Niyonzima, Emanuel Okwi na James Kotei.Habari za ndani zinasema kwamba...

Etienne kuiongoza Azam Fc msimu ujao

0
Kama tulivyoripoti hapo awali kuhusu safari ya Etienne Ndayiragije kutoka KMC kwenda Azam Fc, hatimaye leo imetimia.Kocha huyo aliyewahi kufanya vizuri na...

MAMA ASITISHA MKATABA WA AJIBU SIMBA, AMBAKISHA YANGA FC

0
UONGOZI wa Yanga upo kwenye taratibu za mwisho za kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu huku mama yake akihusishwa.Ajibu anaelezwa kumalizana na Simba akisaini...

MOURINHO ANUKIA KUREJEA CHELSEA

0
IMEELEZWA kuwa vuguvugu la kumtafuta meneja ndani ya kikosi cha Chelsea kwa sasa linamhusisha Jose Mourinho ambaye amewahi kukinoa kikosi hicho kwa mafanikio kabla...

RASMI WACHEZAJI WATATU WAPIGWA PINI SIMBA

0
ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba rasmi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Nyoni anakuwa ni mchezaji wa tatu kwa Simba kutangazwa...

KILICHOMG’OA NDAYIRAGIJE KMC MPAKA KUTUA AZAM FC CHATAJWA

0
UONGOZI wa Azam FC leo umemtangaza rasmi kocha Etienne Ndayiragije  aliyekuwa KMC kuwa kocha wao mpya kwa msimu wa 2019/20.Akizungumza mara baada ya kutambulishwa, Ndayiragije...

YANGA YAFANYA MAAMUZI MENGINE KUHUSU AJIBU

0
meelezwa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili gia angani kwa kuanza mazungumzo ya kumuogezea mkataba kiungo wao Ibrahim Ajibu ambaye mkataba wake umememalizika ndani...