KAZI IMEANZA SIMBA WAJIBU MAPIGO YA YANGA, WAANZA NA BOCCO MIAKA MIWILI

0
UNAAMBIWA Uongozi wa Simba baada ya kuona watani zao wa jadi Yanga wao wameanza na kiungo fundi Papy Tshishimbi kumuongezea mkataba wao wameanza kujibu...

TUWAACHE MKUDE, AJIBU WAFANYE YAO, TUELEKEZE MACHO CAIRO

0
NA SALEH ALLYMJADALA umekuwa mkubwa sana kuhusiana na viungo wawili, mmoja ni Ibrahim Ajibu ambaye ameichezea Yanga msimu uliopita na Jonas Mkude wa Simba.Hawa...

Wanaompinga Amunike, wamesahau sababu ya Yanga kuitwa Kandambili.

0
“…mwalimu wetu ni raia wa Nigeria, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, ameshinda vikombe vya Afcon lakini ni mchezaji...

USAJILI SIMBA NI BALAA TUPU, JIONEE MWENYEWE

0
SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko.Kikosi hicho kilichopo chini ya muwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo’...

VIFAA 21 YANGA HADHARANI, MASTAA WANNE WA KIGENI OUT

0
YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya za kutoka nje ya...

YANGA YAMPA MKATABA KIPA AKIWA MISRI

0
MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa Misri.Yanga wanapambana vya kutosha...

FOWADI MPYA YANGA USIPIME

0
HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na takwimu zake za kutupia...

BEKI HUYU WA SIMBA AWEKWA KWENYE TAGETI ZA YANGA NA AZAM

0
BEKI wa Simba Juuko Murshid ambaye nafasi yake ya kubaki ndani ya Simba kwa sasa ni finyu imeelezwa kuwa amekuwa ndani ya tageti za...

UMESIKIA MDAU ….HILI LA Infinix NA ZUCHU SIO LA KUKOSA MTU WANGU…NI KWA MGUSO...

0
Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub...