KAMA UNA MTOTO MDOGO…HILI LA DStv LINAKUHUSU…ALADDIN INAKUJIA KWAKO KWA MSELELEKO ULE ULE WA...
Jumatano hii mruhusu mwanao afurahie Aladdin kupitia chaneli ya Mambo Moto 140 inayopatikana kuanzia kifurushi cha...
UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA
Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa...
MO AZUIA JARIBIO YANGA
HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda kusaini kwa watani wao...
BELLA SIKURUPUKI KUTOA NYIMBO
BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu kuwa katika maisha yake hapendi...
BEKI MATATA KUTUA MAN UNITED
MAN United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa wanamfukuzia wa muda mrefu.Muda mwingi wa...
JUMA KASEJA ASANI MIAKA KMC
KIPA Juma Kaseja ‘Tanzania One’ ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu yake ya KMC aliyoichezea msimu uliopita.Kaseja amesaini mkataba huo leo Jumamosi...
YANGA YAFANYA USAJILI MWINGINE WA KUTISHA
Kiungo Mapinduzi Balama amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Yanga.Kiungo huyo amefikia makuabliano na Yanga akitokea Alliance FC ya Mwanza.Usajili huo...
SAMATTA: TUKO FITI, SENEGAL ANAKUFA
HAINA kuremba kesho aisee, kwani Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi yao ya kwanza mbele...