PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA

0
Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka...

KWA USHINDANI ULIOPO KWA SASA KILA TIMU ISAJILI KIUFUNDI NA SIO BORA LIENDE

0
KATIKA vitu ambavyo viliziangusha timu nyingi zilizoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 ambao ulimalizika hivi karibuni, ni suala zima la usajili.Usajili huo...
Habari za Simba leo

KESI YA AVEVA, KABURU, HANSPOPE YAKWAMA LEO

0
Kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa  Simba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya shahidi aliyeandaliwa  kufiwa na kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo inawakabili  hao waliokuwa viongozi wa...

KESI YA JAMALI MALINZI YAPIGWA KALENDA

0
MAHAKAMA imeshindwa kuendelea kusikiliza  kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Serikali kushindwa kuleta shahidi.Kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea leo...

MBADALA WA KINDOKI HUYU HAPA, ASAINI MIAKA MIWILI JANGWANI

0
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango wa Mbao FC, Metacha Mnata amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.Yanga kwa sasa ipo kwenye mpango wa...

LICHA YA KUPOKEA KICHAPO , KIBA AWASHURU MASHABIKI

0
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amesema kuwa mashabiki wake na watanzania wanastahili shukrani kwa kujitoa kwa hali na mali kufanikisha zoezi...

SAMATTA AWASHUKURU WATANZANIA KWA SAPOTI

0
BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi...

LACAZETTE AIBUA MASWALI KUPITA MITAA YA BARCELONA

0
STRAIKA wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameonekana katika mitaa ya jiji la Barcelona juzi na kuzua maneno. Baada ya kuonekana huko, ndio wadau wa soka wakadai kuwa Lacazette huenda ametua...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu

JIPYA LAIBUKA JUU YA NINJA NA YANGA

0
INAELEZWA beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anatakiwa na moja kati ya timu zinazoshirikiLigi Kuu ya Zambia lakini amepatwa na kigugumzi kufuatia...