Kwanini tunasita kumwiita Manula , Tanzania one?
Wakati niko shule msingi nilikuwa najaradia madaftari yangu kwa magazeti ya michezo. Nilikuwa mteja mkubwa sana wa magazeti haya. Nilipenda kuyasoma, nilikuwa nafanya...
STARS KUOGELEA MIZAWADI KIBAO AFCON
Michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri sio ya kitoto kwani bingwa wa michuano hiyo analamba mkwanja mrefu.Tanzania inapeperusha Bendera kwenye...
KABLA YA JUNI 30 MRITHI WA NDAYIRAGIJE KUJULIKANA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa unaendelea na mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu atakayebeba mikoba ya Etienne Ndayiragije aliyetimkia Azam FC.Akizungumza na Salehe Jembe,...
KALA JEREMIAH AJIANDAA KUVUTA JIKO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeremiah amesema kuwa kwa sasa anapambana kujitoa kwenye dhambi moja ya kuzini kwa kujipatia jiko lake hivi...
KOCHA YANGA AMLILIA HERITIER MAKAMBO
KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Azam FC na Singida United Hans Pluijm amesema kuwa itachukua muda mrefu kwa mbadala wa mshambuliaji wa Heritier...
NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE
IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John...
EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA
UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili....
SINGIDA UNITED YA MINZIRO YASAKA WACHEZAJI 10 KATI YA 500
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa wamejitokeza wachezaji zaidi ya 500 kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye kikosi hicho ambalo lilianza Juni 12 litakamilika...
MATOLA WA LIPULI AIBUKIA POLISI TANZANIA, ASAINI MWAKA MMOJA
SELEMAN Matola amepewa kandarasi ya kuinoa timu ya Polisi Tanzania iliyopanda Daraja msimu huu kushiriki Ligi Kuu Bara.Matola ambaye alikuwa kocha wa Lipuli ametambulishwa...